Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

Bi Tozo ashapiga mahesabu ya kupata hela zaidi za mabeberu so hawezi yauzi mabeberu kwa kumweka tena ndani hasa wakati huu ambapo mabeberu yanapambana na babu Puto wa urusi na so misaada itapungua kwa Africa
Wewe unaleta bangi tu, huna hoja.
 

Maneno haya ni msiba mkubwa mno kwa hizi timu pendwa:





mwengeso, Wakudadavuwa, johnthebaptist, KeyserSoze na wenzenu kama nawaona humo wajameni. Kulikoni?

Hiiiiii bagosha!
 
Propaganda za kijinga hizi. Kwani ni CHADEMA wameomba bendera zao zishushwe ili hizo 'headline' unazozisema ziwepo?

Hata hivyo, 'headline' hiyo ni ushahidi unaoonekana kwa jamii yote bayana. Acha jamii iamue kama haioni umuhimu wa jambo hilo.
 
Hiyo ya heshima kubwa ni bendera ya nchi sio ya Chama cha Siasa hata kiwe CCM !! Bendera za vyama hazina hadhi hiyo ya bendera ya taifa

Wewe ndio hujui hakukuwa na sababu ya C8 kuona kama big issue
Kama ni hivyo usemavyo mi vizuri uwaambie hao wanaohangaika kuzishusha waache kupoteza muda, mlaumu mtenda na si mtendewa.
 
Mwanamke akihutubia kwenye sherehe ya wanawake wenzake(gaidi)
Pale kubwajinga, kula kulala sebuleni Kwa shemejie linapowaza Kwa kutumia makalio Kwa kusaidiwa na tumbo ni hatari Sana Kwa ustawi wa wenye busara na hekima! Njaa ni nzuri Sana ukiihamishia Kwa shemejio!
Umeeleweka, kale leftovers alizoacha shemejio Kisha uvae bukta lake utoke barazani!
 
Watamrudisha kwenye kanyampasila soon
Watu kama huyo kamanda wenu,hawapaswi kuendelea kuwepo ofisini,maana ni wachonganishi wa serikali na raia,wanatakiwa kushtakiwa kwa kuhatarisha amani na kutishia wapenda amani
 
Hujui unachomaanisha. Wewe Ukiamrishwa na mapolisi ule kinyesi, utakula haraka haraka ili uondoe media attention?

Kuwa serious na unayoandika
 
Kama ni hivyo usemavyo mi vizuri uwaambie hao wanaohangaika kuzishusha waache kupoteza muda, mlaumu mtenda na si mtendewa.
Hivi wewe kwa akili yako unaona kushusha bendera ndio big issue kuliko alichoongea Mbowe?
Tukio kubwa ni lipi bendera au alichoongea?
 
Hiki kichwa ni noma
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…