Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Umenikumbusha msamiati "santuri".Anawapelekea santuri mpya ili 'wademke' kivingine!
Wewe unaongelea vifurushi wakati Kuna Mambo ya msingi zaidi anatakiwa ayaongelee.Asisahau kuongelea kuhusu bei ya kupaa ya vifurushi vya simu
Wale covid 19
Kwani anafundishwa cha kuongea?Awaulize Chadema kwanini Rufaa ya haijafanyiwa kazi ndani ya miezi3