mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hotuba iko tayari hapa tunafurahisha genge tuuKwani anafundishwa cha kuongea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotuba iko tayari hapa tunafurahisha genge tuuKwani anafundishwa cha kuongea?
Mama anaanza kuhutubia saa ngapi?Hotuba iko tayari hapa tunafurahisha genge tuu
SawasawaHotuba iko tayari hapa tunafurahisha genge tuu
JioniMama anaanza kuhutubia saa ngapi?
Duuh ni jioni kumbe ni nikajua mapema asubuhiJioni
@johnthebaptist Magufuli....Yote yamezingatiwa bwashee!
Usikariri bwashee!@johntyebaptist Magufuli....
Aisee jamaa ni kati ya MATAGA wenye hali mbaya sana. Ila nadhani umepata somo, "usimtegemee Binadamu maana Mungu wetu yu hai"
Msimjazie Rais maneno ya kuongea mwacheni kwani YY hajui nn kinachoendelea?hii ndo shida ya nchi yetu kila mtu anataka kumlisha Rais wetu jambo la kuongea.Mwacheni aongee mwenyewe shida iko wapi nyinyi subirini kuchambua hotuba yake.Mheshimiwa Rais,
Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge,tena kwa mara ya kwanza;usisahau kuongelea mambo haya:,
1. Ajira kwa vijana.
2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa
3. Gharama za tozo za simu
4. Katiba mpya
5. Maridhiano ya kitaifa
6. Ripoti ya CAG
7. Ubovu wa bunge la JMT.
Kila la kheri rais wetu unapolihutubia Bunge kwa mara ya kwanza.
Sio wabunge feki hao ni wabunge wa majimbo ya Ndugai sasa feki ki viti?Asipogusia suala la wabunge feki 19 atakuwa naye ameenda kudemka bungeni.
SAA 10 jioni leoAnahutubia saa ngapi?