Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi na Rais anapata pongezi zake na wanaaminiwa na wananchi na wanaendelea kushika dola.
Wakati Rais anazungumza hayo niliwaangalia Mbowe ns Zitto na walionekana kuwa kwenye lindi la mawazo.
Kwa kauli hiyo ya Rsis, na kwamba pasiwe na ukosoaji usio na tija, ni wazi vyama kosovu, hasa Chadema wajipange. Wajipange kutoa hoja za kistaarabu majukwaani. Wajipange ni kwa namna gani hoja zao na kosoa zao hazitainufaisha ccm. Waangalie ni kwa namna gani hawatakuwa mtaji kwa ccm. Ilani yao itachukuliwa na ccm na wataifanyia kazi.
Pale ambapo itaonekana kuna kuichafua ccm, Rais katoa ruhusa kwa chawa ndani ya ccm kushambulia. Hawa chawa wako hadi vyombo vya ulinzi na usalama mjue. Kosovu watamudu? Au itafika wakati nao waanze kuunga mkono juhudi.