Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Aliye shuhudia mabalozi wa marekani na ulaya kuhudhuria ufunguzi wa bunge anijuze, kama hawakuwepo ni kwanini.
Kama walihudhuria kuapishwa kwa Rais Magufuli, hata wasipokuwepo leo bungeni haina impact yeyote, tayari wameshamtabua kuwa yeye ndo Rais wa Tanzania.
 
Ni hotuba bora kabisa iliyotoa mwelekeo wa Taifa 2020-2025.
Namshukuru Mh.Rais John Pombe Joseph Magufuli kwa kuikumbuka sekta binafsi kama mhimili mmojawapo uliosahaulika katika kukuza uchumi.

Ni matumaini yangu ndani ya miaka mitano ijayo mamilionea wengi watapatikana kupitia sekta hii muhimu.

Pili namshukuru sana sana Mh.Rais kwa hotuba yake iliyosheheeni matarajio ya watanzania walio wengi.

Mwisho nawashukuru Watanzania na Dunia kwa ujumla kutumia nafasi zao kusikiliza hotuba ya Mh.Rais.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
 
Mimi niliacha kitambo sana kumchukulia serious au kupoteza muda wangu kumsikiliza
[/QUOTE]
Dah Mkuu
Ukweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu..
Dah! Unaniangusha mbona unafungua huu uzi Mkuu maana naona unakinzana na maneno yako ya mwisho
 
Nimemuangalia leo jamani pamoja na kuhutubia anaonekana hana raha kabisaa zile mbwembwe zake na shamrashamra sijaziona

Na kingine ni kususiwa kwa mabalozi wa western pamoja na kupewa mialiko hakuna hata mmoja aliyehudhilia
Wazungu hawawezi kushiriki haramu
 
Rais Magufuli: 'mimi na dr husein tutahakikisha tuna dili na yeyote anaetaka kuingilia uhuru wa nchi yetu'

Mfikishieni huuu ujumbe wale wabelgiji
 
Kama walihudhuria kuapishwa kwa Rais Magufuli, hata wasipokuwepo leo bungeni haina impact yeyote, tayari wameshamtabua kuwa yeye ndo Rais wa Tanzania.
Kwa hiyo wale ambao hawakuhudhuria kuapishwa kwake ina maana hawamtambui? Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…