Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mbona kuapishwa walienda?Hawawezi kwenda kwenye hii
Poleni sana mkuu! Mbelgiji wenu ndio huyo anakula zake bata kwa Amsterdam sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuapishwa walienda?Hawawezi kwenda kwenye hii
Wakati mnauwa watu mlikua wazaTusubiri tumsikie huyu msaliti mweusi wa kwanza mwafrika kwenda kuchongea nchi yake kwa wazungu
Wazee wa Mavi 8 wamekua wamachingaSasa huko Libya kuna Utulivu kwa RAIA WOTE?!!!
Mlisema shetani hawezi kumshinda Mungu.
Shetani kala kichapo Cha shoga mwizi na malaika zake wametawanyika wanalialia ukimbizini.
Amani waipate wapi kutoka kwa naniWalioshinda uchaguzi hawana amani
Kama walihudhuria kuapishwa kwa Rais Magufuli, hata wasipokuwepo leo bungeni haina impact yeyote, tayari wameshamtabua kuwa yeye ndo Rais wa Tanzania.Aliye shuhudia mabalozi wa marekani na ulaya kuhudhuria ufunguzi wa bunge anijuze, kama hawakuwepo ni kwanini.
Sijui hata kama wamekaribishwa.Hawawezi kwenda kwenye hii takataka
Shosti mkuuTanzania tumeshajitena na Ulaya na Marekani - kwa sasa Mchina ndiye shosti wetu!!
Dah! Unaniangusha mbona unafungua huu uzi Mkuu maana naona unakinzana na maneno yako ya mwishoUkweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu..
Wazungu hawawezi kushiriki haramuNimemuangalia leo jamani pamoja na kuhutubia anaonekana hana raha kabisaa zile mbwembwe zake na shamrashamra sijaziona
Na kingine ni kususiwa kwa mabalozi wa western pamoja na kupewa mialiko hakuna hata mmoja aliyehudhilia
2015-2020 alikuwa hajui kama kuna sekta binafsi?Ni hotuba bora kabisa iliyotoa mwelekeo wa Taifa 2020-2025...
Tusubiri tuoneRais Magufuli: 'mimi na dr husein tutahakikisha tuna dili na yeyote anaetaka kuingilia uhuru wa nchi yetu'
Mfikishieni huuu ujumbe wale wabelgiji
Kwa hiyo wale ambao hawakuhudhuria kuapishwa kwake ina maana hawamtambui? Pathetic!Kama walihudhuria kuapishwa kwa Rais Magufuli, hata wasipokuwepo leo bungeni haina impact yeyote, tayari wameshamtabua kuwa yeye ndo Rais wa Tanzania.
Jamaa mbabaishaji flani hiviSafari katengua kauli yake ya matajiri wataishi kama mashetani.
Umesahau kuweka namba yako ya simu.Ni hotuba bora kabisa iliyotoa mwelekeo wa Taifa 2020-2025...