Nimemsikiliza Mh Rais.Ukweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu....liza
Na pia wahafahamu haki za binadamu zina over ride immunity za kijinga.Rais Magufuli: 'mimi na dr husein tutahakikisha tuna dili na yeyote anaetaka kuingilia uhuru wa nchi yetu'
Mfikishieni huuu ujumbe wale wabelgiji
Linapokuja suala la masilahi ya nchi haki za binadamu tunawaachia kina Maria Sarungi na kina kigogoNa pia wahafahamu haki za binadamu zina over ride immunity za kijinga.
Where we dare to talk openly.umesahau kuweka namba yako ya simu.
Awamu hii mnamtumia Mungu mnavyotaka kwenye mambo yenu ya siasa!Yaani mmemfanya Mung kama babu yenu vile!Mungu hupitia wanadamu kukamilisha mambo yake
Kwa mapenzi yake hakuna analoshindwa ruhusu na hakuna analoshindwa zuia
Daah,sisi tukitumia fasihi kuelekea upande huo tusiwekwe ndani!Tuseme mpinzani bungeni angewaita wanaccm mbwa,angekuwa salama?Ameongea kwa kutumia fasihi, hajatukana
Awamu hii mnamtumia Mungu mnavyotaka kwenye mambo yenu ya siasa!Yaani mmemfanya Mung kama babu yenu vile!
Magu akiteua mnasema Mungu kateua!Kweli?Hatujawahi acha kumtumia Mungu hata CORONA inalitambua hilo😁😁😁
Na hakuna anayeweza kutuzuia kumtegemea Mungu
yes mtazamo wangu wa kukumbusha uweke namba ya simu uheshimiwe.Where we dare to talk openly.
Wana JF tufike mahala tuheshimiane kimtizamo.
Mawazo hayapigwi rungu.
(J-A)GDFEICGBB./+++
Nimeweka Mkuu.yes mtazamo wangu wa kukumbusha uweke simu uheshimiwe.
Umesahau kuweka namba yako ya simu.
Imani za dini humponya binadamu kiroho na kimwili nasi wakristo hushiriki kuula mkate na kuinywa divai kama " ishara" ya kupokea uponyaji huo.
Imani za kisiasa huuponya mwili na hasa tumbo ndio maana Wanasiasa wanaipigania amani ya mwilini siyo ya rohoni ( haki)
Maendeleo hayana vyama!
weka na sanduku la posta.Nimeweka Mkuu.
Hujaiona hapo chini?
Daudi Mchambuzi naheshimu challenge zako.weka na sanduku la posta.
haya ndiyo maisha yetu mliyotuchagulia na tutayaishi kwa hii miaka 5.Daudi Mchambuzi naheshimu challenge zako.
Ebu maisha yaendelee.
Aliyekuloga na kukosa akili alikuweza! nahisi ni laana hadi kwa wanao!Watanzania wazalendo kwa hamu wanamsubiri mzalendo namba moja akiongea nasi.
MACHADEMA, HOI.
Daah,sisi tukitumia fasihi kuelekea upande huo tusiwekwe ndani!Tuseme mpinzani bungeni angewaita wanaccm mbwa,angekuwa salama?
Ndio,,,, kama yeye alivyoteuliwaMagu akiteua mnasema Mungu kateua!Kweli?
Ni ngumu Sana Vijana wa Chadema kumfurahia Magufuli Kwa sasa, kutokana na Chama Chao kuzikwa rasimi 2020...