Nimemsikiliza Mh Rais.Ukweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu....liza
Anamaanisha.
Hapa kwenye Kilimo amenigusa sana!
Pesa iko kwenye Kilimo na Ufugaji wa kisasa!
Nchi itaruka mbali sana kiuchumi.
Huyo Waziri anatakiwa ajue vizuri Biashara ya Kilimo.
Huo ndiyo utajiri wenyewe sasa!!
Heko Mkuu.
Tuandalie mazingira Sisi tutapiga kazi vibaya mno!!