Watu tumepigika mitaani kimtindo wa mbwa kachoka. Muiba kura atatuambia nini siye choka mbaya. Nani anamsubiri kwa hamu kusikia stori za kihutuhutu.Watanzania gani walioisubiri kwa hamu Siku hii? Kutakuwa na jipya gani? Ni Ushindi gani unaouongelea wewe? Endeleeni kuigiza.
Mmejazana huku kupiga umbea kura hampigi mnabaki kulalamika bila sababu. JPM msingemuweza lakini japo mngepata wabungr wengi.Sii
Sio bunge hilo sema party cocus. Anahutubia part cocus sio bunge.
Imani za dini humponya binadamu kiroho na kimwili nasi wakristo hushiriki kuula mkate na kuinywa divai kama " ishara" ya kupokea uponyaji huo.Tafadhali toa ufafanuzi juu ya mipaka iliyopo kati ya imani na siasa. Anza kuelezea siasa nini na inahusika na nini halafu ueleze dini ni nini na inahusika na nini kama unafahamu.
Wewe kama watanzania huwajui kaa kimya usidhani kila unalopinga wewe kila mtu anapinga.Watanzania gani walioisubiri kwa hamu Siku hii? Kutakuwa na jipya gani? Ni Ushindi gani unaouongelea wewe? Endeleeni kuigiza.
Kachaguliwa na watanzania bila kujali itikadi zao!Kachaguliwa na nani? Sema rais wa ccm kuhutubia genge la waiba kura wa CCM
Unashika kitabu cha Q'uruan halafu unaapishwa na mkristo?Dini isingekuwepo kwenye siasa asingeapa kwa vitabu vitakatifu, asingesema tumuombee kazi ya kuendesha nchi ni ngumu sana
Kwahiyo wewe ndio unatufahamu Sisi vzr?Wewe Kama watanzania huwajui kaa kimya usidhani kila unalopinga wewe kila mtu anapinga
Habari njema ipi? miradi mikubwa yote inakwama fedha za mikopo zimekauka. zaidi ya mipasho na ushambenga tu leo hakuna kitu.Rais Magufuli leo analifungua bunge la 12 rasmi kwa kulihutubia taifa.
Watanzania wameisubiri kwa hamu siku hii ili wamsikie kiongozi mkuu wa nchi baada ya ushindi mkubwa aliopata kwenye uchaguzi mkuu.
Tukio hili litakuwa mubashara kwenye runinga zote za ndani.
Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa anahutubia kikao cha CCM, hakuna mwenye akili timamu anayeweza kupoteza muda wake kusikiliza utumbo. Hana jipya zaidi ya ndege, sgr, bwawa huku umaskini wa watu ukiongezeka kwa kasi ya ajabuRais Magufuli leo analifungua bunge la 12 rasmi kwa kulihutubia taifa.
Watanzania wameisubiri kwa hamu siku hii ili wamsikie kiongozi mkuu wa nchi baada ya ushindi mkubwa aliopata kwenye uchaguzi mkuu.
Tukio hili litakuwa mubashara kwenye runinga zote za ndani.
Maendeleo hayana vyama!
Utasoma gazetini!Binafsi sina mda wa kusikiliza mipasho. Angewaita lumumba kabisa akaongee nao.
Toa mfano wa mradi uliokwama!habari njema ipi? miradi mikubwa yote inakwama fedha za mikopo zimekauka. zaidi ya mipasho na ushambenga tu leo hakuna kitu.
Unatafuta nini kwenye huu uzi kama huisubiri kwa hamu?Watanzania gani walioisubiri kwa hamu Siku hii? Kutakuwa na jipya gani? Ni Ushindi gani unaouongelea wewe? Endeleeni kuigiza.
Kaangalie tena spelling za 'cocus' kisha uje tena.Sii
Sio bunge hilo sema party cocus. Anahutubia part cocus sio bunge.