Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Watanzania gani walioisubiri kwa hamu Siku hii? Kutakuwa na jipya gani? Ni Ushindi gani unaouongelea wewe? Endeleeni kuigiza.
Watu tumepigika mitaani kimtindo wa mbwa kachoka. Muiba kura atatuambia nini siye choka mbaya. Nani anamsubiri kwa hamu kusikia stori za kihutuhutu.
 
Tafadhali toa ufafanuzi juu ya mipaka iliyopo kati ya imani na siasa. Anza kuelezea siasa nini na inahusika na nini halafu ueleze dini ni nini na inahusika na nini kama unafahamu.
Imani za dini humponya binadamu kiroho na kimwili nasi wakristo hushiriki kuula mkate na kuinywa divai kama " ishara" ya kupokea uponyaji huo.

Imani za kisiasa huuponya mwili na hasa tumbo ndio maana Wanasiasa wanaipigania amani ya mwilini siyo ya rohoni ( haki)

Maendeleo hayana vyama!
 
Binafsi sina mda wa kusikiliza mipasho. Angewaita lumumba kabisa akaongee nao.
 
Rais Magufuli leo analifungua bunge la 12 rasmi kwa kulihutubia taifa.
Watanzania wameisubiri kwa hamu siku hii ili wamsikie kiongozi mkuu wa nchi baada ya ushindi mkubwa aliopata kwenye uchaguzi mkuu.

Tukio hili litakuwa mubashara kwenye runinga zote za ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Habari njema ipi? miradi mikubwa yote inakwama fedha za mikopo zimekauka. zaidi ya mipasho na ushambenga tu leo hakuna kitu.
 
Rais Magufuli leo analifungua bunge la 12 rasmi kwa kulihutubia taifa.
Watanzania wameisubiri kwa hamu siku hii ili wamsikie kiongozi mkuu wa nchi baada ya ushindi mkubwa aliopata kwenye uchaguzi mkuu.

Tukio hili litakuwa mubashara kwenye runinga zote za ndani.

Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa anahutubia kikao cha CCM, hakuna mwenye akili timamu anayeweza kupoteza muda wake kusikiliza utumbo. Hana jipya zaidi ya ndege, sgr, bwawa huku umaskini wa watu ukiongezeka kwa kasi ya ajabu
 
Back
Top Bottom