Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Suala la kuapishwa PM, Mawaziri na viongozi wengine mbele ya Rais huwa daima linarushwa live na TV & redio. PM huwa anaapishwa Ikulu. Hata hivyo, binafsi sikumuona PM akila kiapo jana. Baada ya PM kuteuliwa na Mh. Rais na wabunge kuidhinisha kwa 100% (kama wengi tulivyotegemea kutikana na utendaji wake mujarab awanu iliyopita), nilichokuwa nakisubiria ni Mh. Rais kulihutubia Bunge leo kisha PM aapishwe na kisha Mh. Rais ateue Mawaziri kwa kushauriana nae.

Maswali "Pasua Kichwa":

1. Je, PM ameishaapishwa?

2. Je, kama PM hajaapishwa, ina maana Mh. Rais hakumuhusisha PM kwenye uteuzi wa Mawaziri hawa?

3. Kama alimuhusisha, je ni sahihi kwa Mh. Rais kumuhusisha PM ambaye hajaapishwa?

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kuna Mtanzania anajipanga kuhutubia bunge la ULAYA atakua ni Mtanzania wa kwanza na muafrika wa tatu baada ya Mandela na Koffi Anan.

jiwe anajiandaa kihutubia Halmashauri kuu ya CCM.

Wapi na wapi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utabiri:

Katika kujaribu kujibu hoja za Lissu na pia kuweka mambo sawa na zaidi katika kujaribu kutuliza machungu ya watu yaliyotokana na huu uchaguzi unaolalamikiwa kila kona, wanaweza leo kuja na tangazo la nyongeza ya mishahara katika hotuba itayotolewa Mjengoni.

Wanaweza kurekebisha Bajeti katika Bunge hili ili kuongeza hiyo mishahara japo hali ni tete.

Pia, hii itakuwa ni katika kuonyesha tunaweza tukiamua kumbe ni kujaribu tu kutafuta support ya umma kwa kuanza kujirekebisha.

Kumbukeni huu ni utabiri hivyo unaweza kutimia kama navyotarajia au vinginevyo but mkae mkijui hili haliko mbali.
 
Kumbe wako "raivu" maana kipindi kile walisema likiwa "raivu" linapoteza muda wa watu kuchapa kazi hadi likafungwa imekuaje tena ?
 
Labda watangaze mdomoni tu sababu serikali haina kitu! Kampeni yao ilikula hela kama mchwa alafu miezi michache hadi miaka michache ijayo hawajui itakuwaje sababu mirija mingi kutoka kwa mabeberu itakatwa.

Jiwe atatamani kujiuzulu ila makosa yake yatamfanya aendelea kung'ang'ania kiti. Angalia cement na mafuta ya kula yalivyopanda kiasi cha kuvunja record ya marais wote waliopita!


Watafanya kila namna kuwapandishia wanyonge bidhaa waweze kurejesha hela walizotumia bila mahesabu ili waweze kuendesha serikali
 
Mifuko ya jamii ipo hoi kabisa
 
Habar Wana jamiforums

Leo Mh Rais Analihutubia Bunge na Watanzania wote na jambo la kufuraisha ni kuona Watanzania wakiwa wenye furaha na kutaka kumuona Rais wao sio Bungen tu hata Manyumban asilimia 90 na watu wote kila nilipo pita wako bize wanasikiliza hotuba ya Rais wao Mpendwa

Jambo kama ili ndio sababu hata Mabeberu wanashindwa kutuhujum mana ushaid watao takiwa kutoa ili wapewe saport hawana sababu huwez kusema watanzania hatuna Amani au Furaha wakat tuna tabasam na afya nzur uhuru na akil timam

Ndiomana hata baadh ya wapinzan wanaamua kutaka kuwakomoa na watanzania kwa kutaka nchi wahisan watunyime mikopo kitu ambacho ili wafanikiwe lazima waeleze kwann wanafikir tunastail kunyimwa Mikopo kitu ambacho hawawez kua nacho ndiomana mmoja wa kibaraka wao walimtuma aje kuitafuta icho kitu ambae nae Ameshindwa Kwan kawakuta Watanzania Wana Akil Zaid ya Hao Mabeberu wezi wa Mali za watu

Ukitaka kubisha jaribu kufanya research Channel ip inaangaliwa Sana muda huu
 
Hiyo pesa wataitoa wapi?

SGR, Stiglers vyote bado havijafika hata nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…