Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Si bora wangefanyia kwenye ukumbi wa CCM?Anahutubia wabunge wa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora wangefanyia kwenye ukumbi wa CCM?Anahutubia wabunge wa ccm.
Kuliko kupoteza muda kuangalia kikao cha chamaBora nimsikilize zembwela.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Mtanzania anajipanga kuhutubia bunge la ULAYA atakua ni Mtanzania wa kwanza na muafrika wa tatu baada ya Mandela na Koffi Anan.
jiwe anajiandaa kihutubia Halmashauri kuu ya CCM.
Wapi na wapi
Mifuko ya jamii ipo hoi kabisaLabda watangaze mdomoni tu sababu serikali haina kitu! Kampeni yao ilikula hela kama mchwa alafu miezi michache hadi miaka michache ijayo hawajui itakuwaje sababu mirija mingi kutoka kwa mabeberu itakatwa.
Jiwe atatamani kujiuzulu ila makosa yake yatamfanya aendelea kung'ang'ania kiti
mkuu nimecheka ndugayi anasema jiwe atakuja hutubia jamaa wanapiga makofi kama ma zuzuKila analoongea wanapiga makofi tu CCM ni shida.