kitimotojikoni
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 408
- 1,003
Napita mimi, hii ndio Tanzania mpya, aliyotuachia baba wa Taifa J Nyerere, Kikubwa Mungu ndie kila kitu hakuna namnaNipo apa Moscow wananchi wananunua CD za hiyo hotuba kwa shilingi elfu 50000 pesa za kitanzania.
Ila nasikia ata USA wapo wanaitasfiri ili Trump akaongee maneno ayo ayo.
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.
Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.
Maendeleo hayana vyama!
Jipe furaha hapo Kinondoni Moscow, upate japo lepe la usingizi.Nipo apa Moscow wananchi wananunua CD za hiyo hotuba kwa shilingi elfu 50000 pesa za kitanzania.
Ila nasikia ata USA wapo wanaitasfiri ili Trump akaongee maneno ayo ayo.
Iran ipi hawa hawa waliokua wanaomba fedha World Bank juzi, wewe kweli hamnazoKutoka Palestine na Iran wanasema watakuwa begabega na Magufuli km Mabeberu yataleta janja janja
Yaani anajaribu kuushawishi Ulimwengu kuwa corona ni kaugonjwa tu cha mafua hata mapapai na mbuzi wanazo na maisha yanasonga mbele. Aibu.Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.
Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.
Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Papai limepataje Corona?Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.
Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.
Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawaona hao watu wanaokufa kwenye hayo mataifa? hama nchi usionekane mwendawazimu.Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.
Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.
Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kazi tu na nyungu 🤣Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeeeee
Kwanini papai likutwe na Corona?Hii ya kupima mapapai
Mkuu walipimwa mpaka kondoo na mbuzi.
Hapa kazi tu na nyungu 🤣
Tuliza mzuka mkulu amejiongeza ili ku verify authenticity ya vifaa vya kupimia korona isije ikawa changa la macho.....Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.
Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.
Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli usemayo. maana hata wale wabunge na waziri waliokuwa kule bungeni nao wanatania tu hawakuondoka kutokana na hiyo coronavirus.Corona ni ugonjwa hatari sana kwenye mitandao ya kijamii... Unatisha sana mtandaoni hasa JF,FB,INSTA. Na according to mange kimambi korona inaua maelfu kwa maelfu dar... Watu wanaokotwa mitaroni. Ila ukiwa dar... Hakuna jirani anaomboleza msiba, wala hakuna hata maiti ya kenge mtaroni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upupu wako kawaambie nduguze Mch. Mitimingi kama watakuelewa na Mafenesi yako. Hayajakupata endelea kushabikia porojo za Meko.Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.