Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

Satire
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo apa Moscow wananchi wananunua CD za hiyo hotuba kwa shilingi elfu 50000 pesa za kitanzania.
Ila nasikia ata USA wapo wanaitasfiri ili Trump akaongee maneno ayo ayo.
Jipe furaha hapo Kinondoni Moscow, upate japo lepe la usingizi.
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anajaribu kuushawishi Ulimwengu kuwa corona ni kaugonjwa tu cha mafua hata mapapai na mbuzi wanazo na maisha yanasonga mbele. Aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Papai limepataje Corona?
 
Ushawaona hao watu wanaokufa kwenye hayo mataifa? hama nchi usionekane mwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchina aliyekuomba umtafsirie hiyo hutuba ni manara umemtazama kwa juu-juu
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza mzuka mkulu amejiongeza ili ku verify authenticity ya vifaa vya kupimia korona isije ikawa changa la macho.....
kujiongeza sio kosa ni aina ya utafiti
 
Corona ni ugonjwa hatari sana kwenye mitandao ya kijamii... Unatisha sana mtandaoni hasa JF,FB,INSTA. Na according to mange kimambi korona inaua maelfu kwa maelfu dar... Watu wanaokotwa mitaroni. Ila ukiwa dar... Hakuna jirani anaomboleza msiba, wala hakuna hata maiti ya kenge mtaroni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli usemayo. maana hata wale wabunge na waziri waliokuwa kule bungeni nao wanatania tu hawakuondoka kutokana na hiyo coronavirus.

Haya mambo sasa yamekuwa kama utani tu wa kila siku.
 
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!
Huu upupu wako kawaambie nduguze Mch. Mitimingi kama watakuelewa na Mafenesi yako. Hayajakupata endelea kushabikia porojo za Meko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom