Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

Watu bado wanakuamini ndio maana wanakusikiliza. Natamani kukusaidia ila katika yote tafadhali sana muombe Mungu yupo pamoja na wewe katika kila jambo.

Wewe ni mshindi. Ndio wewe umeweza kwa uzuri sana.

Nakupenda sana.
 
Mtakatifu mbona hamuongelei kashfa ya "KANGI LUGOLA", ametuweka gizani raia kuhusu "KASHFA ILIOMUONDOA WADHIFA WAKE".

Kama kweli yeye anavyojitapa anapambana na mafisadi, na wataishi kama "MASHETANI", inamaana huyu amethibitisha kua "AMEMSHINDWA".

Kangi Lugola inamaana "ANAOGOPWA"? Bado hajafikishwa mahakamani, au bado "UPELELEZI HEWA" unaendelea?
 
Hata sisi inabidi tuwaenzi sangoma wa Madagascar kuliko wataalamu wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hosea4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Nimetafakari naona hiii nchi inatawaliwa na wahamiaji au watu wajinga na wananchi wajinga
 
Uwezo wa Jiwe kuvusha watu wake hasa wakati wa majanga ni mdogo! Ndio hivyo tu huyu baba ni mbishi ila angekubali kujifunza kwa wenzie! Tatizo anajiona anajuaga kila kitu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewa wako inaonekana una walakini, yeye kafanya hivyo sio kuonyesha kwamba papai lina corona lakini kuangalia
1. Reliability of the testing procedure
2. Reliability of the instruments used for testing
3.any other products / produce which can reflect that one has corona while it is not.
 
Na mjinga number moja ni wewe usielewa maana.
 
Ajabu wanata lockdown kwa Dar tu Zanzibar hawaizungumzii
Janja yao imejulikana,ukifanya lockdown kwaDar utaua watu kwa njaa ndani ya siku mbili tu,hivyo ingekua rahisi kwao kuchochea wananchi waasi.Pole sana mbowe hatimaye amejiloki mwenyewe
 
Utafiti wa kuwafanyia mbuzi na mapapai? na wewe kweli hazikutoshi kama mwenzio. Wahindi na Wachina walikuomba wewe?
 
Kwahiyo kuanzia Leo tusile papai fenesi supu ya mbuzi na kware kisa vyote ni positive Corona virus confirmed😥😥😥😥
 
Sasa tupo kwenye hali halisi ya kipimo Cha uongozi wake ... He is playing game of chance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huu utumbo aliyoufanya Jiwe wa kupima mapapai kwenye kipimo kinachompima binadamu afu akategemea kupata majibu sahihi?
Yaani kwanza waelewa hawawezi hata kwenda kutest mapapai kama alivyofanya Jiwe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…