Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yahya Jameih dikteta aliyefurushwa wa Gambia amewahi sema anatibu ukimwi
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaomba nikuambie hivi, utanisamehe lakini huo ndio ukwlei kwamba wewe ni "MPUMBAVU WA KWANZA DUNIANI".

Hakuna mtu mwenye akli timamu ambaye atadharau huu utafiti uliofanywa na raisi wetu pamoja na thamani ya matokeo ya utafiti huo kwa Watanzania na dunia. Wewe ni "PUMBAVU".

Wewe thibitisha kwamba unadanganywa. Nani anakudanganya kwa maslahi gani? Nani anayesema kweli na unaamini vipi kama ni kweli? Unajua Corona imetokana na nini? Malengo yake ni nini?

Nani kasema Corona haipo?
Ficha upumbavu wako. Kama huan elimu sahihi nyamaza, siyo kila kitu uchangie.
 
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!

Kuhusu faulty ya vifaa malalamiko yametokea sehemu nyingi duniani

JPM he is bold
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe hauna akili

Mapapai hayaja corona +ve wala mbuzi, ni tatizo la kifaa au wapimaji

Ambacho haukuelewa ni nini mburura wewe?
 
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subiri teuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu @johnthebaptist,yawa lulu +ly au -ly!!??
Hata hapa Nizhny Novgorod kuna watu wanaitaka niwatafsirie.
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ninaomba nikuambie hivi, utanisamehe lakini huo ndio ukwlei kwamba wewe ni "MPUMBAVU WA KWANZA DUNIANI".

Hakuna mtu mwenye akli timamu ambaye atadharau huu utafiti uliofanywa na raisi wetu pamoja na thamani ya matokeo ya utafiti huo kwa Watanzania na dunia. Wewe ni "PUMBAVU".

Wewe thibitisha kwamba unadanganywa. Nani anakudanganya kwa maslahi gani? Nani anayesema kweli na unaamini vipi kama ni kweli? Unajua Corona imetokana na nini? Malengo yake ni nini?

Nani kasema Corona haipo?
Ficha upumbavu wako. Kama huan elimu sahihi nyamaza, siyo kila kitu uchangie.
Huyo jamaa pumbavu hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
lini sasa[emoji23][emoji23][emoji23].

yaani tokea muanze kuwanga hicho kipindi hakifiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaomba nikuambie hivi, utanisamehe lakini huo ndio ukwlei kwamba wewe ni "MPUMBAVU WA KWANZA DUNIANI".

Hakuna mtu mwenye akli timamu ambaye atadharau huu utafiti uliofanywa na raisi wetu pamoja na thamani ya matokeo ya utafiti huo kwa Watanzania na dunia. Wewe ni "PUMBAVU".

Wewe thibitisha kwamba unadanganywa. Nani anakudanganya kwa maslahi gani? Nani anayesema kweli na unaamini vipi kama ni kweli? Unajua Corona imetokana na nini? Malengo yake ni nini?

Nani kasema Corona haipo?
Ficha upumbavu wako. Kama huan elimu sahihi nyamaza, siyo kila kitu uchangie.
Kizuri ni kwamba wote mnao bishana hapa hamjui kabisaa utendaji kazi wa vifaa hivyo
 
Ninaongelea scientific lab testing general context!. Na hakuna ubishi kwamba kuna tatizo.

1. Ama wataalamu wetu kule maabara wanaguess matokeo hawapimi kwa kuogopa maambukizi na hivyo wanabuni tu na kujibandikia. Hivyo wanaona afadhali waweke Ve+ nyingi ili kuwa na tahadhari kubwa kuliko kuweka Ve- na kuacha watu wakiambukiza mitaani.

2. Ama wataalamu wetu hawana utaalamu wa kuoperate hizo mashine ili zitoe jibu sahihi.

3. Ama huo utendaji kazi wa hiyo mashine ndiyo una kasoro kubwa kwamba unatoa kiashiria ambacho si lazima kiwe kinatokana na Corona tu kama kufanya diagnosis ya Malaria kwa kupima joto la mwili japo unatumia thermometer.

4. Ama reagents na hizo applicators haziko salama, kama zile Masks zilizogunduliwa kuwa infected, ama kama zile condom ziligunduliwagwa kuwa na virusi vya ukimwi.

Kwa mtazamo huu, hapa hatujadili ufanyaji kazi wa hizo mashine, ila tunaaangalia effectiveness yake na utendaji wa watendaji wetu.

Tuwe focused!.

SORRY polokwane : Kuhusu upumbavu wa huyu jamaa, ni kwamba yeye ni mpumbavu kwa kuwa anacho bishania hakipo hata kwenye utaratibu wa dunia. Please dont connect me with that guy.

Tusonge mbele.!

Hivi mkikuta kilichofanya hizo sample za mapapai na mafenesi zitoe majibu positive ni makosa ya kibinadamu katika procedure za upimaji yaliyo sababishwa na watu wetu wa maabara ya Taifa. Mtaambia nini watu?
 
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ni tatizo na unashauriwa kufuata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya. Ulimwengu upi wa kutushangaa wakati hao hao ndo wanaongoza kwa idadi kubwa ya maambukizi na vifo?
 
Hivi mkikuta kilichofanya hizo sample za mapapai na mafenesi zitoe majibu positive ni makosa ya kibinadamu katika procedure za upimaji yaliyo sababishwa na watu wetu wa maabara ya Taifa. Mtaambia nini watu?
Kama ulimsikiliza vizuri Mh. Rais alisema inaweza kuwa ni hujuma kwa hiyo anaviagiza vyombo vyake kufuatilia suala hilo
 
Back
Top Bottom