Hotuba ya rais Samia imenichefua sana. Tarehe 9 December nitatoka!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Mambo yaliyonichefua:-
A. Kuunda wizara ya vijana. So what?
B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo?
C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani?
D. Niwaombe vyama vya siasa tukae pamoja tuijenge nchi pamoja. Ebo! Maridhiano ya ulaghai muda wake umepita.
E. Anaipongeza tume huru kwa kuendesha uchaguzi kwa weledi. OMG! Huyu mama anatuona sisi ni nyani??

Sasa ni jino kwa jino! Tukutane tarehe 9. 12
 
Mambo yaliyonichefua:-
A. Kuunda wizara ya vijana. So what?
B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo?
C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani?
D. Niwaombe vyama vya siasa tukae pamoja tuijenge nchi pamoja. Ebo! Maridhiano ya ulaghai muda wake umepita

9D Tupo barabarani hadi huyu mbwa aachie ngazi huwezi kutua na kuleta maigizo...Samuya tunakuja
 
Mambo yaliyonichefua:-
A. Kuunda wizara ya vijana. So what?
B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo?
C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani?
D. Niwaombe vyama vya siasa tukae pamoja tuijenge nchi pamoja. Ebo! Maridhiano ya ulaghai muda wake umepita

Sasa ni jino kwa jino! Tukutane tarehe 9. 12
wizara ya vijana wa Uvccm
Tume ya machawa wak kumpamba yeye na kuwalaumu waandamanaj
 
Hakiyanani tarehe 9. 12. Naomba niridie. Tarehe 9.12 tutasalimiana vema.
 
Back
Top Bottom