9D Tupo barabarani hadi huyu mbwa aachie ngazi huwezi kutua na kuleta maigizo...Samuya tunakujaMambo yaliyonichefua:-
A. Kuunda wizara ya vijana. So what?
B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo?
C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani?
D. Niwaombe vyama vya siasa tukae pamoja tuijenge nchi pamoja. Ebo! Maridhiano ya ulaghai muda wake umepita
Sasa ni jino kwa jino! Tukutane tarehe 9. 12
Tusimchekee huyu mama9D Tupo barabarani hadi huyu mbwa aachie ngazi huwezi kutua na kuleta maigizo...Samuya tunakuja
Nimeandika hivyo ili mods wasiondoe uzi wangu mkuuutamuitaje rais wakati hajachaguliwa na wananchi?- Katiba inasema Mamlaka lazima yatokane na wananchi
wizara ya vijana wa UvccmMambo yaliyonichefua:-
A. Kuunda wizara ya vijana. So what?
B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo?
C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani?
D. Niwaombe vyama vya siasa tukae pamoja tuijenge nchi pamoja. Ebo! Maridhiano ya ulaghai muda wake umepita
Sasa ni jino kwa jino! Tukutane tarehe 9. 12
Anatuona sisi manyaniMsenge huyo hajagusia hata Utekaji ,Mauaji kabla ya Uchaguzi, Kufungwa Kwa makanisa!!
Yaan huyu tunaenda naye Kichwa KICHWA