PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha Machozi ya Furaha watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mpeleke boss wako mapema kwa Mwamposa akaombewe tena kabla mambo hayajaharibika kabisa. Damu za marehemu zimeanza kumlilia mapema kuliko ilivyo tarajiwa! Na hivyo ameanza kuweweseka.
 
Pumbavu nyie,mara hakuna mauaji,ooh hayakuwa maandamano...
Huwa mnafikiri kwa kutumia makalio?
 
Muda mrefu sana nilikuwa napingana na ubongo wangu ulivyokuwa ukikutafsiri wewe kama "kichwa box"ila leo nimekubali saaa
 
Muda mrefu sana nilikuwa napingana na ubongo wangu ulivyokuwa ukikutafsiri wewe kama "kichwa box"ila leo nimekubali saaa
Nimekusamehe maana najua ni utoto uliokujaa pamoja na chuki tu binafsi ndio zinakusumbua.
 
Wewe ni JINI Binadamu!
 
Acha uongo. Hamna aliyetoa machozi. Hata wewe chawa pro max hujatoa machozi.
 

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Embu acha ujinga wako hapa wewe unayeonekana kuwa mhamiaji Haramu. Maana Rais Samia ni kipenzi cha watanzania na ndio tuliompatia kura za ndio kwa kishindo kikuu ili aendelee kututumia.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha Machozi ya Furaha watanzania
Kwa mauaji hayo ya maelfu ya wananchi wasio na hatia machozi hayawezi kuwa ya furaha, ni ya huzuni mno..

Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye anawasiliana naye moja kwa moja | JamiiForums Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye anawasiliana naye moja kwa moja
 
Ms**nge wewe

Rudia kuandika kuwa ametuangusha tunao ipenda Tanzania yetu
 
Pumbavu ww,majeraha gani wakati mlisema ni wakongo.
Mnakwenda na upepo,sijui unagundu,hadi sasa bado hawakuoni tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…