BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Kwa ngonjera hauna mpinzani.
SilipwiUnalipwa kiasi gani
Mimi ni msema kweli na siyo muimba ngonjeraKwa ngonjera hauna mpinzani.
Mimi ni akili kubwaHili Mwashambwa, sijui ni lini litakija kupata akili japo ilr ndogo kabisa!! Ni hasara kubwa sana kwa ndugu na wazazi wake
Wewe ni muimba ngonjera uliyekubuhu.Mimi ni msema kweli na siyo muimba ngonjera
Akili kubwa katika uimbaji wa ngonjera.Mimi ni akili kubwa
Nimekusamehe bure kabisaHivi wewe kmlmmyko ni roboti au binadamu? Jinga sana wewe Lucas Mwashambwa
Siyo picha yangu hiyo.Akili kubwa katika uimbaji wa ngonjera.
Kwako Lucas.
Ya nani?Siyo picha yangu hiyo.
Ya kwako.Ya nani?
Wewe pumbavu wewe utakuwa halali ya Gen-Z shauri yako! Endelea kujichanganya sasa. Wenzie huku mtaani ameamua kususa chama!Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia amegusa Mioyo ya watanzania, Amewapa Tabasamu,amewapa furaha . Ni hotuba ya Matumaini,ni hotuba iliyotoa Dira yenye matumaini,ni hotuba iliyounganisha Taifa ,ni hotuba ya kizalendo,ni hotuba iliyoonyesha Uwezo mkubwa wa kiuongozi alionao Rais wetu.
Ni hotuba yenye kuponya majeraha ,ni hotuba yenye kurejea utanzania wetu na Thamani ya undugu wetu. Ni hotuba iliyoonyesha Maana ya kiongozi wa watu na mtu wa watu ,ni hotuba iliyoonyesha maana ya Ukubwa ni Jalala.
Kwa Hakika Sijapata kuona Furaha , tabasamu na bashasha waliyonayo watanzania kama hii leo waliyokuwa nayo watanzania. Nimeshuhudia watanzania wakibubujikwa Machozi ya Furaha wakati na baada ya kumalizwa kwa hotuba ya Rais Samia.
Watanzania kwa furaha kubwa waliyokuwa nayo wamejikuta wakishindwa kujizuia kutoa machozi ya furaha na kujikuta mashavu yao yakiloa kwa machozi utafikiri wamepakwa pilipili au kukamuliwa vitunguu vya Igawa.
Imekuwa ni kama nyumba iliyokuwa ikisubiri kupata mtoto baada ya kupita miaka kumi ya ndoa bila kupata mtoto.
Niseme Ukweli wa dhati ya Moyo wangu kuwa kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu Mwenyewe.kainuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe. Kapewa kibali na Mungu Mwenyewe. Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia .
Tunakwenda kuiona Tanzania mpya ,Tanzania ya fursa ya kila aina, Tanzania ya maziwa na asali, Tanzania ya maendeleo ya uchumi,Tanzania yenye kumshirikisha kila mtu katika meza ya chakula , Tanzania yenye kumuwezesha kila mmoja wetu kupata milo mitatu mezani pake, Tanzania ambayo watanzania watakuwa wakila chakula watakacho na siyo kile kipatikanacho.
Tunakwenda kuiona na kuishuhudia Tanzania yenye Kutoa fursa za ajira maelfu kwa Malaki kwa vijana waliosoma na ambao hawajafika vyuo vikuu, Tanzania yenye madawa ya kutosha mahospitali ambapo mtanzania akienda hospitalini atapokelewa vizuri ,kusikilizwa vizuri na kupewa huduma bora na stahiki kwa unyenyekevu na upendo wa hali ya juu sana.
Tanzania ambayo watanzania watatembea barabarani wakiwa na nyuso za tabasamu na matumaini tele na siyo kuzungumza wenyewe kama vichaa au wendawazimu . Tanzania ambayo kila mmoja ataishi katika nyumba bora na yenye heshima na siyo kwenye mabanda ya bati kama kuku.
Tunakwenda kuiona Tanzania ya Rais Samia ambayo kilimo itakuwa ni fahari na kazi ya kujivunia badala ya kuwa kama adhabu au kazi ya wanavijiji,Tanzania ambayo kila mmoja wetu atajivunia utanzania wake na kutembea kifua mbele akiimba Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee .
Ngoja niishie hapa nakuja kuendelea baadaye kidogo.View attachment 3502023
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuWewe pumbavu wewe utakuwa halali ya Gen-Z shauri yako! Endelea kujichanganya sasa. Wenzie huku mtaani ameamua kususa chama!
Brother umetumwa? Au maelekezo? Au unataka uteuzi???Ndugu zangu Watanzania,

Pumbavu! Huku kwetu wanaccm mpaka leo wamejificha, diwani wetu hajulikani alipo!CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Haulipwi chochoteSilipwi
Huwa situmwi wala kutafuta uteuzi hapa jukwaaniBrother umetumwa? Au maelekezo? Au unataka uteuzi???
Ndio. Kazi yangu ni kuwapeni ukweli wa mambo.Haulipwi chochote
Imeleta furaha Kwa wazNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia amegusa Mioyo ya watanzania, Amewapa Tabasamu,amewapa furaha . Ni hotuba ya Matumaini,ni hotuba iliyotoa Dira yenye matumaini,ni hotuba iliyounganisha Taifa ,ni hotuba ya kizalendo,ni hotuba iliyoonyesha Uwezo mkubwa wa kiuongozi alionao Rais wetu.
Ni hotuba yenye kuponya majeraha ,ni hotuba yenye kurejea utanzania wetu na Thamani ya undugu wetu. Ni hotuba iliyoonyesha Maana ya kiongozi wa watu na mtu wa watu ,ni hotuba iliyoonyesha maana ya Ukubwa ni Jalala.
Kwa Hakika Sijapata kuona Furaha , tabasamu na bashasha waliyonayo watanzania kama hii leo waliyokuwa nayo watanzania. Nimeshuhudia watanzania wakibubujikwa Machozi ya Furaha wakati na baada ya kumalizwa kwa hotuba ya Rais Samia.
Watanzania kwa furaha kubwa waliyokuwa nayo wamejikuta wakishindwa kujizuia kutoa machozi ya furaha na kujikuta mashavu yao yakiloa kwa machozi utafikiri wamepakwa pilipili au kukamuliwa vitunguu vya Igawa.
Imekuwa ni kama nyumba iliyokuwa ikisubiri kupata mtoto baada ya kupita miaka kumi ya ndoa bila kupata mtoto.
Niseme Ukweli wa dhati ya Moyo wangu kuwa kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu Mwenyewe.kainuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe. Kapewa kibali na Mungu Mwenyewe. Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia .
Tunakwenda kuiona Tanzania mpya ,Tanzania ya fursa ya kila aina, Tanzania ya maziwa na asali, Tanzania ya maendeleo ya uchumi,Tanzania yenye kumshirikisha kila mtu katika meza ya chakula , Tanzania yenye kumuwezesha kila mmoja wetu kupata milo mitatu mezani pake, Tanzania ambayo watanzania watakuwa wakila chakula watakacho na siyo kile kipatikanacho.
Tunakwenda kuiona na kuishuhudia Tanzania yenye Kutoa fursa za ajira maelfu kwa Malaki kwa vijana waliosoma na ambao hawajafika vyuo vikuu, Tanzania yenye madawa ya kutosha mahospitali ambapo mtanzania akienda hospitalini atapokelewa vizuri ,kusikilizwa vizuri na kupewa huduma bora na stahiki kwa unyenyekevu na upendo wa hali ya juu sana.
Tanzania ambayo watanzania watatembea barabarani wakiwa na nyuso za tabasamu na matumaini tele na siyo kuzungumza wenyewe kama vichaa au wendawazimu . Tanzania ambayo kila mmoja ataishi katika nyumba bora na yenye heshima na siyo kwenye mabanda ya bati kama kuku.
Tunakwenda kuiona Tanzania ya Rais Samia ambayo kilimo itakuwa ni fahari na kazi ya kujivunia badala ya kuwa kama adhabu au kazi ya wanavijiji,Tanzania ambayo kila mmoja wetu atajivunia utanzania wake na kutembea kifua mbele akiimba Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee .
Ngoja niishie hapa nakuja kuendelea baadaye kidogo.View attachment 3502023
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Imeleta furaha Kwa wazanzibari bali ni huzuni Kwa watanganyika. Tukutane 9 December 2025. Patashika na nguo kuchanikaNdugu zangu Watanzania,

Ondoa mawazo ya kikoloni hapa.Imeleta
Imeleta furaha Kwa waz
Imeleta furaha Kwa wazanzibari bali ni huzuni Kwa watanganyika. Tukutane 9 December 2025. Patashika na nguo kuchanika