PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha Machozi ya Furaha watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sema watu wanaoganya kazi ya huyu mama izidi kuwa ngumu ni hawa machawa ambao sijui wananufaika vip kusifia ujinga ujinga
 
Wewe ni kichaa tunakufahamu na watu wa karibu yako wanadai hauko sawasawa kichwani
 
Muuaji hawezi kuleta tabasamu kwa watu aliowaulia ndugu, jamaa na marafiki zao.

Muuaji yuko katika nyakati ngumu huku akijiandaa kuelekea mahakama ya kimataifa ya wahalifu kujibu mashtaka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…