Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

Sawa mkuu ngoja mama atunufaishe wote
naona kila mtu ana fikra tofauti ,tumuache mama afanye kazi tumpe muda tumuone jamani, haya ya kutuuza yatoka wapi tena? tumpe vigelegele tu kwa mwanzo mzuri then akiharibu tusemeee maana katupa uhuru huooo!!!!!!!!!!!!!!!
 
Binadamu hatuna wena na huwezi kumridhisha kila mtu...
 
Jiwe aliwadanganya sana kwenye sekta ya madini
Ofcourse alijua umbumbumbu wenu kwenye sekta husika
 
Kuna mda mama alikua anaongea mawazo yake ila ananajua fika kuna mambo hayawezekani...

Sheria ya local content inawabana wawejezaji kuhusu matumizi ya wafanyakazi unless aibadili lakini pia hata hivyo hii ni sheria mfu na ni mara chache sana umetekelezwa....


Mtoa mada hakuna sehem serikali inaapata 50/50 kwenye uwekezaji wa madini hata alipokuepo JPM (nirekebishwe kama nimekosea)
Nachokiona mpaka sasa CCM itatumia nguvu kubwa kumdidimiza SSH HAsa lile kundi ya kuabudu mitandaoni

Tukubali tupo kwenye wakati mpya na tusonge mbele MAGUFULI asingeishi mpaka milele muda wake umepita na tushukuru kwa hatua aliyotupigia acha na wengine wafanye nao watapita watakuja wapya na mitazamo yao.

SSH haongozi danguro anaongoza nchi yenye watu, washauri na kubwa zaidi ni mamlaka zinazounda serikali na kuisimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…