Baada ya kuondoka manguli wa sheria Tundu Lisu na Fatma Karume, mmenaki vilaza ndipo anakuja kwenye mkutano wenu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa, namuaminia sana, ni no nonsense man when it comes to kutetea haki.
P
Duh...!, Mkuu Bagamoyo, kumbe siku hizi jf hadi tuna monitors kuwapangia members za kuchangia!, kwanza mimi sio msomi kihivyo, pili kusomea sheria na kuwa na decree ya sheria, hakumfanyi mtu kuwa mwanasheria au mchambuzi wa sheria. Mimi japo ni kweli nimesomea sheria lakini kwanza sijawahi kujiita "the learned brothers", pili sijawahi kujiita mwanasheria, mimi siku zote ni mwandishi wa habari and I will remain mwandishi wa habari.Pascal Mayalla,
Kama msomi uliyesoma digrii ya sheria ulitakiwa unene maneno na paragraph nyingi zaidi. Kwa kuichambua hotuba hii ya Rais wa TLS ili uweze kutoa mchango wako kwa JamiiForums na waTanzania kwa ujumla wake.
Duh...!, Mkuu Bagamoyo, kumbe siku hizi jf hadi tuna monitors kuwapangia members za kuchangia!, kwanza mimi sio msomi kihivyo, pili kusomea sheria na kuwa na decree ya sheria, hakumfanyi mtu kuwa mwanasheria au mchambuzi wa sheria. Mimi japo ni kweli nimesomea sheria lakini kwanza sijawahi kujiita "the learned brothers", pili sijawahi kujiita mwanasheria, mimi siku zote ni mwandishi wa habari and I will remain mwandishi wa habari.
P