Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Wataelewa tu.

Mbona jiwe hapumziki huko aliko, wajumbe endleeni kupiga spana.
 
Cha muhimu siku hiyo haikuwa hiyo teleprompter ila ni tai ya JPM, wakina Mbowe na Lema tai zao zote nyekundu waliziacha nyumbani
 
Huu muda uliopoteza hapa bora ungejikita kujitafutia mia mbili mbili ili uukwamue ukoo wako uliotopea kwenye umasikini.
 
MATAGA na WASUKUMA wenyewe ni wajinga wajinga fulani, wasikuchoshe...
Kujitia kujua kila kitu kama yule mtukufu wao, mapumbavu sana.
 
Kinatumikaje hicho au ni kama Meza ya kuwekea kitabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…