Zanzibar 2020 Hotuba ya Seif imenitoa chozi, nashauri Rais Magufuli, Mwinyi na Maalim Seif wakutane wagonge glass kidogo

Wala sio unafiki na sahau Maalim Seif hatarudi CCM abadan
 
Acha uwongo wewe wapemba wamejazana Unguja na kujenga mahekalu muunguja ata kiwanja hasubutu kumiliki uko Pemba . Wabaguzi mno wapemba shenz type
 
Acha uwongo wewe wapemba wamejazana Unguja na kujenga mahekalu muunguja ata kiwanja hasubutu kumiliki uko Pemba . Wabaguzi mno wapemba shenz type
Kichwa chako ni kigumu, wapemba wapo kibao unguja kama ulivyosema, tunaongelea nafasi za ajira toka serikalini ama uhamisho wa kikazi., wapemba waliojenga unguja ni watu wa kawaida ambao wanaishi maisha kujituma binafsi., narudia tena wapemba walikuwa wanabaguliwa,

Wapemba sio wabaguzi kama ni wabaguzi wale wanyamwezi kutoka tanganyika kule wanaolima viazi na kuuza dawa za panya wangekwisha rejeshwa., lakini bado kila siku wanapigiana simu wanajaza kule pemba na wamasai rafiki kibao.,
 
Umeharibu hapo ulipomtaja beberu Robert Amsterdam ...
 
Njaa inakusumbua huna lolote
 
mimi nimefurahi alipowaondoa kwenye serikali wale watoto wa royal family.
  1. mohammed aboud
  2. haji omar kheri
  3. ali karume
  4. seif ali iddi
  5. n.k

kuna eneo fulani nimepita asubuhi ya leo nikaambiwa hii ni nyumba ya balozi seif
dah! nilipigwa na butwaa

Wapi huko mkuu?
 
mkuu ufipa na upinzani hawatabiriki kwa ufupi😂😂 yaani ✌=💩
 
Usilo lijuwa usiku wa giza
 
Maalim Seif ana miaka 77 ni umri mkubwa, kwake kuwa makamu ya rais mara mbili tayari ni suala la heshima kubwa na historia itamkumbuka daima.
 
acha unafki.
 
Mkuu kilichokuwa kina iharibu Zanzibar mpaka kutokea yote hayo ni siasa uchwara za kichochezi,

Mbona wa zanzibar walioko huku bara tunakunywa nao kahawa safi tu?
Mbona raia kwa raia Zanzibar hawana tatizo, wanaishi vizuri tu kama ndugu. Shida ilikuwa ni baina ya serikali na raia. Serikali iliyopita ilifanya ubaguzi wa kutisha! Mfano kuna mtoto wa dada yangu mmoja, yeye anaishi Unguja. Amekulia Unguja na kusoma Unguja. Baada ya kumaliza chuo akaomba uajiri wizara ya elimu. Kwa tabu sana walimuajiri akafundishe Pemba. Huyu ni mke wa mtu na maisha yao yote ni Unguja. Kwa sababu tu ya upemba wake ndio analazimishwa akafundishe Pemba. Mifano kama hii iko mingi. Mambo haya yalikuwa normalize na serikali...yaani ni ilikuwa kawaida tu kwa serikali kukubagua ukiwa mpemba au mpizani!
 
Ilikuwa Hotuba nzuri sana yenye matumaini kwa Wazanzibar lakini ilikuja kuharibiwa na Hotuba ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliyeanza kupongeza na kusifia Chama chake na Mwenyekiti wake. Maagizo toka Dodoma yatakuwa palepale!
 
Ilikuwa Hotuba nzuri sana yenye matumaini kwa Wazanzibar lakini ilikuja kuharibiwa na Hotuba ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliyeanza kupongeza na kusifia Chama chake na Mwenyekiti wake. Maagizo toka Dodoma yatakuwa palepale!
Haahaa Seif atakachofanikiwa ni ving'ora na marupurupu basi. Habari za agenda zake asahau. Huo ni ukweli mchungu Wana ACT wengi hawataki kuusikia..
 
Zitto ni msaliti sana, sidhani kama anaweza kuaminika, anaonekana alishafeli vetting zote kwa sababu ya undumila kuwili
 
Sasa hapo shida iko wapi? Mbona huku bara mtu unaweza kuweka maisha yako mkoa wa Mwanza lakini ukapangiwa kazi mbeya ndani ndani huko, je huo ni ubaguzi?
 
Nadhan anajifanya hajui,jamaa kashasema hajaribiw
Dr Mwinyi ni waziri katika serikali ya muungano! Huo ndiyo ukweli, hivyo Dr mpango na Dr Mwinyi wapo Sawa kiitifaki na Rais anawaita kwake siyo wao wanamuita
 
Zitto hafai hata kuwa mfagiaji serikalini, yule ni kibaka na anaweza badilika any time. Yeye akiambiwa huku kuna hela kiasi fulani, ataacha huo ufagio na kukimbilia kwenye hela kupiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…