DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
kwa ufupi jamaa na mali nyingi kuliko kipato chake cha halali.Hiyo nyumba kivipi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa ufupi jamaa na mali nyingi kuliko kipato chake cha halali.Hiyo nyumba kivipi mkuu
Ulipita Mangapwani 😀 ukaona mjengo wake au? taja tu sehemu usiogope. Maana naskia jamaa uko Mangapwani kafukua makaburi auze kiwanja!mimi nimefurahi alipowaondoa kwenye serikali wale watoto wa royal family.
- mohammed aboud
- haji omar kheri
- ali karume
- seif ali iddi
- n.k
kuna eneo fulani nimepita asubuhi ya leo nikaambiwa hii ni nyumba ya balozi seif
dah! nilipigwa na butwaa
Jamaa kamzidi ata Shein kwa hela alokuwa nayo.kwa ufupi jamaa na mali nyingi kuliko kipato chake cha halali.
Dunia ina viumbe wa ajabu sana yaan leo babu mandevu baada ya kucompromise amekutoa machozi,alivyokua analalamika watu wanakufa haikukutoa machozi?Dah hii nchi ya Lumumba ni kinyonga asiyekwepo duniani kwingineWakuu nmesikiliza hotuba ya Maalim Seif baada ya kuapishwa, nikiri tu kwamba huyu mzee ana busara sana. Seif anajua kwamba Zanzibar ni zaidi ya ACT Wazalendo na CCM,.
Na kwa hotuba hii kama wataenda jinsi walivyo leo nauhakika Zanzibar itapiga hatua sana.
Ningekuwa karibu na JPM ningemshauri awaite Seif na Mwinyi Ikulu ya bara waje wagonge glass kutwa nzima au yeye mwenyewe anaweza kujipeleka Ikulu ya Zanzibar wakagonge glass huko, hakika watu watatiwa moyo na Wabelgiji watanuna sana.
Kingine, kwa kuwa Zitto ameshajirudi ni wakati sasa wa Rais kumpa ubunge na ikiwezekana Wizara kabisa ili tujenge nchi. Haya mengine ya kushirikiana na kina Amsterdam tutawasamehe kina Zitto.
Jioni njema wakuu.
Huyo ni kuku wenu hakuna haja ya manatiWakuu nmesikiliza hotuba ya Maalim Seif baada ya kuapishwa, nikiri tu kwamba huyu mzee ana busara sana. Seif anajua kwamba Zanzibar ni zaidi ya ACT Wazalendo na CCM,.
Na kwa hotuba hii kama wataenda jinsi walivyo leo nauhakika Zanzibar itapiga hatua sana.
Ningekuwa karibu na JPM ningemshauri awaite Seif na Mwinyi Ikulu ya bara waje wagonge glass kutwa nzima au yeye mwenyewe anaweza kujipeleka Ikulu ya Zanzibar wakagonge glass huko, hakika watu watatiwa moyo na Wabelgiji watanuna sana.
Kingine, kwa kuwa Zitto ameshajirudi ni wakati sasa wa Rais kumpa ubunge na ikiwezekana Wizara kabisa ili tujenge nchi. Haya mengine ya kushirikiana na kina Amsterdam tutawasamehe kina Zitto.
Jioni njema wakuu.
Ndiyo alikuwa anatafuta mkuuKilichozungumzwa na maalim ni muhimu, lakini hakuna jipya kitachofanyika zaidi ya yeye kulamba malupulupu na ving'ora Basi...wazanzibar bado Wana Safari ndefu
tunachotaka wazanzibari ni nchi yenye mamlaka kamili sio kupangiwa dodoma.Hii miafaka na maneno matamu ya kuunda umoja wa kitaifa zanzibar ilianza tokea enzi za Dr. Salmin na Aman Karume lakini ukweli ni kwamba CCM hawana nia ya dhati, yaani wakifika yale maeneo ya 18 CCM hutia mpira kwapani na gemu ndo imeisha.
Nadhani tumombe M/Mungu kituo 1 tu saivi kwa Wazanzibar ili maisha yaende ule ubaguzi Upemba na Uunguja labda iwe ni mwisho., ilifikia hadi mtu akiwa Mpemba haangaliwi tena sababu ya upemba wake tu, kwamfano nafasi za ajira 200 watasema 150 ni za unguja na 50 ni za pemba, lakini cha ajabu ata zile 50 za pemba huzirudia wakapewa watu wa Unguja.
Ili kuwa ni kosa la jina mpemba kufanya kazi Unguja, au kuhamishiwa kikazi Unguja lakini watu wa Unguja wamepelekwa pemba kwa mzo ata nyumba za kukaa hawana wanafanya kazi kama waalimu, pale Airpot Pemba, Bandarini, sujui maofisini nk ingawa walikuwepo wapemba wenye sifa stahiki lakini waliachwa.
Sasa Tumuombe Mungu huyu Mwinyi amtie moyo aliondowe hili na kwa vile amemteua Mpemba kuwa Makamo wa pili wa Rais, Kuna Mkuu wa Mkoa 1 ametoka Pemba anaenda kufanya kazi mkoa wa Unguja hii ni dalili ya usawa.
Ingawa Zanzibar ndio imeshatutoka hatufikiri sana huyu Mwinyi kama Zanzibar kama Nchi itamuuma sana, sijuwi mambo ya Muungano nk., Na tukija tukisikia imetangazwa Katiba mpya ndio kabisa Zanzibar bayby lakini angalau hawa watu wazanzibar angalau wapate haki zao za kibinadamu itasaidia sana.
Yupo upande wa pili mwenzio huyoMachozi ya kilevi hayo acha pombe
Haahaa maalim kawatumia wapemba vibaya Sana...
TunduLissu aliongea nini baada kufika Belgium? alimtaka Magufuli aunde serikali itakayoleta umoja kwa Watanzania., kwa msingi wa maneno haya ni kwamba amemtambua kama ni Rais sasa Je. - huu nao ulikuwa unafiki kwa watanganyika? Ukiongea unafiki kwanza ongea wa Tundu Lissu kuwatelekeza watanzania waliokuwa na matumaini naye akakimbia siku 2 baada kutangazwa Magu akidai eti kapigiwa sim na mtu atakayemuuaMaalim kaongea kwa hisia sana na amejitahdi kutamka mambo magum mbele ya Rais (kukemea yaliyotokea mwezi oct 28)
#lakini naamini huu wote ni unafiki tu mbele ya Wazanzibar !!
#karibu sana CCM Maalim, karibu tuijenge Zanzibar kwa pamoja, hongera kwa maamuzi uliyoona ni sahihi kuliko kugombana na kutunishiana daily jambo ambalo halina afya kwa jamii ya Wazanzibar.
Hayo ni maneno tu Wazanzibar bado wana machungu sana
Hiyo hotuba ni mjarabu na sawia kwa muda tuliopoWakuu nmesikiliza hotuba ya Maalim Seif baada ya kuapishwa, nikiri tu kwamba huyu mzee ana busara sana. Seif anajua kwamba Zanzibar ni zaidi ya ACT Wazalendo na CCM,.