Hujatoa mfano wa nchi hata moja. Mi nakupa mfano, Ghana ni nchi inayopigiwa mfano wa kuwa na Katiba bora tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mwishoni mwa miaka ya 1989. Walichapana makonde?
Tanzania tulinadilisha Katiba tukaingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na kuanza kuendesha chaguzi vya vyama vingi kuanzia hapo hadi mwaka huu 2025. Tuna Katiba nzuri na Tume Huru ya Uchaguzi na wadau wote wa Uchaguzi Mkuu toka 1995 wamekuwa wakitoka taarifa zao kuwa chaguzi zetu ni huru na haki. Tulichapana makonde lini?