Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Kwa sababu anakili Sana, huwezi kwenda kushindana ikiwa unajua hata ukishinda hupati chochote, rejea uchaguzi wa serikali za mitaa.Ndo maana watu wengi siku hizi hawapigi kuraHuyu mtu anaonesha kuchanganyikiwa… asipopata Msaada wa haraka atakua kichaa!
Hujatoa mfano wa nchi hata moja. Mi nakupa mfano, Ghana ni nchi inayopigiwa mfano wa kuwa na Katiba bora tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mwishoni mwa miaka ya 1989. Walichapana makonde?Duniani kote kabisa, uzoefu unaonyesha kwamba hakuna nchi hata moja ambayo iliwahi kufanya Mabadiliko ya Katiba yake ya nchi kwa njia za Kidemokrasia bila ya Wananchi kukatana makonde kwanza
Hujatoa mfano wa nchi hata moja. Mi nakupa mfano, Ghana ni nchi inayopigiwa mfano wa kuwa na Katiba bora tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza mwishoni mwa miaka ya 1989. Walichapana makonde?
Tanzania tulinadilisha Katiba tukaingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na kuanza kuendesha chaguzi vya vyama vingi kuanzia hapo hadi mwaka huu 2025. Tuna Katiba nzuri na Tume Huru ya Uchaguzi na wadau wote wa Uchaguzi Mkuu toka 1995 wamekuwa wakitoka taarifa zao kuwa chaguzi zetu ni huru na haki. Tulichapana makonde lini?
Ahahahahaha!!!!Inavyoonekana wewe ni mbumbumbu kabisa kwenye masuala haya.
Ghana ina Katiba ya nchi ambayo ni nzuri ya kupigiwa mfano katika Afrika kwa sababu Katiba hiyo imetokana na mfululizo wa Matukio ya Mapinduzi ya Utawala/Serikali zilizokuwepo huko. Rais wa Kwanza wa nchi hiyo ya Ghana Bw. Kwame Nkrumah alipinduliwa baada ya Watu wa huko hasa Wanajeshi kuona kwamba alikuwa anataka kusimika Utawala wa Kidikteta katika Taifa hilo.
Mwanajeshi Jerry Rawlings alifanya Mapinduzi ya Serikali mara Mbili ili kukomesha uanzishwaji wa Utawala wa Kidikteta na usimikaji wa Katiba mbaya ya Kidikteta kwenye nchi hiyo ya Ghana. Jerry Rawlings aliamua kuwa Rais wa nchi hiyo ya Ghana ili kuonyesha Uongozi Bora wa Kidemokrasia kwa mfano hai ili Watu wengine waliopo nchini humo waweze kuiga Utawala wake Kama mfano mzuri wa Uongozi wa Kidemokrasia unaozingatia Sheria kwenye nchi hiyo.
Fanya utafiti wako vizuri kabla ya kutoa maoni yako humu mtandaoni.
Ninyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi Tutafanya juu chini usifanyike.Kwenye uchaguzi wa 2014 ambao chadema ilishinda 95% huko jimboni kwa lisu tume ya uchaguzi ilikuwa ya nani, ya mwenyekiti (wa wakati huo) Mbowe?
Shughulisha ubongo wako!
Ina maana huelewi mantiki ya mfano huo ktk kuchagiza kaulimbiu ya No Reforms, No Election..?Mbona anajichanganya? Kama mwaka 2014 huko jimboni kwake chadema ilishinda 95% ya vijiji vyote kwa kutumia katiba na sheria hizi hizi, basi maana yake ni kuwa uwezekano wa kushinda upo.
Amwage sera za chama, aache malalamiko na porojo.
Safi. Mwenyekiti amesema chama kinajiandaa kushika bunduki ili kipate ushindi. Jiweke tayari kukamata mtutu na kwenda frontlineNinyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi Tutafanya juu chini usifanyike.
Tutafanya juu chini usifanyike, unshindwa kuelewa kitu gani hapo?Safi. Mwenyekiti amesema chama kinajiandaa kushika bunduki ili kipate ushindi. Jiweke tayari kukamata mtutu na kwenda frontline
Usiyeelewa ni wewe unayeshindwa kuelewa kauli ya mwenyekiti kuwa chadema inahitaji bunduki ili kupata ushindi.Tutafanya juu chini usifanyike, unshindwa kuelewa kitu gani hapo?