Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

Hivi wewe na huyu mnatofautiana na ushuzi na kenyesi. Kenyesi kina mda mrefu kunuka tu ila ushuzi ujulikani ni wanani kajamba makusudi
 
Tukidai kodi ya madini yetu tutashitakiwa MIGA ~~~Lisu.

Lisu yuko smart kwa manufaa ya wabeligiji wenzake
We mbwa kweli sasa hatukushitakiwa miga au unaongelea mnduku? Hayo mandege na mabilioni tunayo endelea kulipa ni pesa za kulipia mahali za kuona dada zako? Watanzania wengine mnaakiki kama wanyama pori kabisa.
 
Weka hints za hotuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…