Hotuba yake ya kwanza alitakiwa ahutubie wana Chadema sio taifa wala nini?Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono
Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda mrefu juu ya nchi yetu na matamanio yao kwa wananchi
Pili haikuwepo haja ya kuanza kuchumbua masuala ya upendeleo wa majimbo kwa Zanzibar kwa sababu imepeleka hisia hasi moja kwa moja kwa upande wa zanzibar. Hii wapinzani wao wanaweza kunitumia kuonyesha Chadema Ina Nia mbaya na muungan o
Tatu Hotuba ya kwanza ya mwenyekiti ilipaswa ijenge hoja ya UMOJA kuunganisha makundi yote NDANI na nje ya chama
Hayo ni maoni machache ,,
INGAwa bado wanayo nafasi ya kurekebisha bado ni mapema sana
Chadema nchi nzima walikuwa wakimsubiri ahutubie kama mwenyekiti mpya ndani ya Chadema ana waza nini kuhusu Chadema na maono yake nini kupeleka Chadema from point A to B nk na mambo ya after uchaguzi nini ni nini?
Lakini kwa kwa kuwa hana political scientists wa kumshauri anategemea kichwa chake tu ndio kikamtumtuma ahutubie taifa
Hotuba yake kifupi ilikuwa irrelevant
Chadema kiko changamoto kibao za after election mtu anakimbilia kuhutubia taifa ??????
Lisu siasa hajui
Unahutubia taifa wakati ndani ya chama kunawaka moto?