Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Niliwaambia watu 6 ni mke wa CDM na wapenda uhuru...ndio maana hawakuahangaika kuweka mtu zaidi ya kuwadanganya CCM wadhani kuwa 6 atakuja waokoa. NIkawaambia ndio spika pekee wa chama tawala alikuwa kibaraka wa upinzani na kutumia office yake kwa kazi za upinzani