MKUU SISI TUNAO SOMA mnachoandika mnatuchanganya. Mkuu Setuba Noel ameandika hivi......Kasema muungano wa serikali mbili waliotuachia waasisi sio huu wa sasa. waasisi walituachia nchi moja yenye serikali mbili, siyo nchi mbili zenye serikali mbili. Babu anaua kinoma.Waasisi walituachia Nchi mbili na serikali moja-Warioba
Wewe ndo unajichanganya!hiyo Rasimu ukuwanayo ndo Leo umemsikia WariobaHivi utakuwa na nchi bila kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama? Warioba anazidi kujichanganya katika hili
Hivi utakuwa na nchi bila kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama? Warioba anazidi kujichanganya katika hili
Warioba free unfree Tanganyika!
Warioba anatumia muda mwingi kutetea hisia zake juu ya serikali tatu. Anatumia maneno kama lazima, haiwezekani, ...etc
Huyu Mzee haaminiki hata chembe!
muundo wa muungano uliopo sasa sio ulioachwa na waasisi. muundo umekuwa ukibadilishwa, tena wakati mwingine bila kufanya mabadiliko kwenye katiba. waasisi walituachia nchi moja na serikali 2. muundo wa sasa ni wa nchi 2 na serikali 2.
hauwezi kusema mafuta na gesi ya zanzibar ni ya ZNZ bali mafuta na gesi ya bara ni ya muungano
am listening online kupitia radio maria
Wakuu tujaribu kuwa Kama mzee warioba japo kiduchu...Haonyeshi UGAMBA au UKAMANDA......Yupo kama yeye, anasimamia ukweli na uhalisia....Hapa tunatafuta katiba ya Taifa letu, ndio biblia au quran itakayoongoza nchi yetu hivyo tuachilie mbali uchadema au uccm, tubaki katika hali ya kushindanisha hoja zilizo na fact ndani yake......
idumu JF
Idumu Amani
Wapuuzi hawajielewi tu!mbona wabara tunakaa kimya kwa mambo yasitufurahisha
Hivi utakuwa na nchi bila kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama? Warioba anazidi kujichanganya katika hili
hawana ujanja...bunge litalipuka..wanamsubiri JK apige porojo ndizo wazitumie km excuse.......ila hadi hapa ni ngumu. Mzee anatema cheche haswa....kila sababu anazijibu vyema.Mkuu, CCM wametulia tuliiii. Wanajua kuwa wapo wengi na kelele za Warioba hazitawazuia kufanya maamuzi yao waliyokubaliana ndaninya chama.