Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Ila chadema hili la review ya taratibu za uchaguzi hasa la kuandikisha na kuboresha daftari hawataki kulifanyia kazi..watu tumelisema sana..sana ..

Dr. unafikiri Chadema ifanye nini? Maana wenye wajibu wa kufanya hivyo ni selikali chini ya tume ya uchaguzi.
 
First lady wa Dubai naye kaapa
 
Arfi,lema hawajatokea kuapa. Yaani watapewa siku nyingine?
 
sina shaka na upuuz unaoendelea bungen,kilichobadilika kwa sitta ni cheo,toka spika kuwa mwenyekiti,toka waziri kuwa mwenyekiti,watu wana ushabiki ila Sitta kama watawala wengine,hana jipya,
 
sina shaka na upuuz unaoendelea bungen,kilichobadilika kwa sitta ni cheo,toka spika kuwa mwenyekiti,toka waziri kuwa mwenyekiti,watu wana ushabiki ila Sitta kama watawala wengine,hana jipya,
Mkuu, punguza jazba kidogo kwa madhumuni ya mjadala huu
 
Leo tena wagome,kwanini wanasigina kanuni,kwani Shein si yupo kwanini azindui bunge
 
Makamishna wanatambulishwa! Warioba hajatupia vile vitenge vyake!! kapga suti.
 
Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wameingia Bungeni na muda wowote baada ya kutambulishwa Makamishna wa tume wataitwa kutimiza wajibu wao
 
Leo tena wagome,kwanini wanasigina kanuni,kwani Shein si yupo kwanini azindui bunge
Mkuu, kama umgwaona jinsi walivyo wamepoa sana. Yaani wametulia tuuuliiiii!
 
Makamishna wamemaliza kutambulishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…