Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warioba sasa!!
Eti jamani hiyo rasimu si kila mjumbe anayo,
Angesema nawasilisha rasimu kila mtu akasome getho kwake,ratiba zingine ziendelee.
Tuokoe muda.
Mkuu, kwani kuna anayekuzuia wewe kufaidi? Huenda wakwako ni bora zaidi kuliko huyo unayemtamani
Warioba ameweka orodha kibao ya nyarakq walizorumia hadi kuandaa rasimu ya Katiba. Sasa anampongeza Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum kwa kuchaguliwa kwao
Acha tu mkuu!! hata ningekuwa mimi ndo mwenyekiti nisingeacha!!
Mkuu, nimefanikiwa kupata nakala ya Kanuni za Rasimu zikiwa kwenye hard Copy. Nafuatilia kupata softy copy. Kuhusu hotuba ya Warioba, ilikuwa ni kwamba niliisaka tangu jana lakini imekuwa adimu. Nadhani kwa vile ilikuwa haijawasilishwa. Hata wabunge hawana nakala za hotuba hii. Ila tunawasiliana na wadau wengine tuweze kuiweka humuChabruma kama unazo nyaraka hizi tafadhali tuwekee hapa ili twende sambamba na bunge:
1. Kanuni za bunge maalum
2. Hotuba ya Warioba
warioba anaendelea kuwasilisha
Ukumbi umetulia sasa, mzee Warioba anaendelea kuwasilisha.