MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
kapewa dk ngapi?
Nasikia masaa 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapewa dk ngapi?
Tbc fm na tbc tv wanarusha live.
Naona lisu ndiyo anaingia ukumbini.
Anasemaje
Ugeweka hoja za msingi kusapoti andiko lako lakini naona hii siyo sawa make huna hoja ya msingi kwa hili.sijampenda sitan ata kidogo.niko mbali na tv kuona ni kipi kinajiri bungeni lakini sita no ovyo. nafananisha na wale makada wa miaka ya 80-90> akivurunda tu humo kwa ushabiki wa ccm< asubili rungu litakalomuangukia labda kama amepanga anamaliza kazi anaenda urambo kukaa na wakulima wa tumbaku. asitegemee kupata wadhifa mwingine
Sitta ni kigeugeu...................na kwajinsi alivyoongea leo ni wazi kuwa anatumika kutoa maamuzi.
Pamoja sana mkuuRais kapunguziwa mamlaka ya uteuzi.
Pinda anabrowse JF
Bunge la muungano halitojadili mambo yasiyo na muungano.
Spika hatokuwa mbunge.
Wabunge hawatokuwa mawaziri.
Ukomo wa ubunge ni miaka 15.
Wananchi wanaweza kumtoa mbunge wao kabla ya uchaguz
Msaliti wa Baba wa Taifa huyo.