Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Warioba anaendelea, ngoja nimsikilize kisha ntaweka dondoo
 
Yes uraia ni nchi moja hapohapo kandamiza maana mafisadi watoto wao wako wanakaa Ulaya na Maerekani wanataka wale kotekote hakuna hiyo.
 
Chabruma nipe mtiririko tafadhali nilichepuka kidogo ila nimekuta Warioba yuko ktk kuzungumzia rasimu kwa sura kwa kuzingatia maudhui yake
 
Last edited by a moderator:
nawaza Ole Msendeka atafanya kaz gani baada ya Ubunge,na hapo kwenye komo wa ubunge,they have to bold,ila spika kutokua mwanachama inaweza isiwe na tija,si mmeona wajumbe walopitia asasi like KINGUNGE

Potelea mbali mkuu bora iwe hivyohivyo spika kutokuwa na chama, umeona Ndugayi na Wenyeviti wake walivyokuwa wanafanya ubabe utafikiri Bunge ni mali ya mjomba wao kumbe ni Bunge la Watanzania.Hao Wabunge nao yatosha 15 waenda kulima mashamba yao kule Bunju,maana hata mtoto wa mkulima alishauri hivyo.
 
Muungano ni wa serikali tatu.

Serikali,bunge na mahakama ndo mihimili ya utawala

Tanganyika yetu itarudi tu!

Balaza la ulinzi na usalama wa Taifa lianzishe.
 
Naona siku hizi Star tv hawapo online na hii link ya bunge maalum ya tbc naona haina quality maana inakatika katika saaana!

Please kwa mwenye link bora zaid hata kama ni ya radio naomba.
 
Chabruma nipe mtiririko tafadhali nilichepuka kidogo ila nimekuta Warioba yuko ktk kuzungumzia rasimu kwa sura kwa kuzingatia maudhui yake
Yeah.anaeleza sura za kariba na maudhui yake. Sehemu kuba ameeleza mihimili ya dola. Ameanza na rais kaja bunge na hatimaye mahakama. Ameeleza rume ya utumishi, uraia na hivi punde kazungumuza muundo wa muungano ambapo amesema kuwa muundo uliopendekezwa ni wa serikali tatu. Bado anarudia rudia yale yale aliyoeleza mwanzo.
 
Radio za bongo zote zinacheza ndomboro kweli watanzania tumelogwa mambo ya msingi tunayafanya ya ziada na ya ziada tunayafanya ya msingi
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mpaka sasa, ule muda aliopewa awali wa dakika 120 umemalizika
 
warioba.jpg
 
Hii rasimu mpaka alipofikia ni nzuri sana, aliponiboa ni serikali tatu.. Nashangaa serikali tatu, hiyo nchi ya tatu ni ipi? Mimi nataka serikali mbili
 
Potelea mbali mkuu bora iwe hivyohivyo spika kutokuwa na chama, umeona Ndugayi na Wenyeviti wake walivyokuwa wanafanya ubabe utafikiri Bunge ni mali ya mjomba wao kumbe ni Bunge la Watanzania.Hao Wabunge nao yatosha 15 waenda kulima mashamba yao kule Bunju,maana hata mtoto wa mkulima alishauri hivyo.
Halmashaur ya Manispaa ya Kinondon imefuta mashamba yote yaliyopo wilaya ya Kinondon,including Ya Bunju ambayo yatagaiwa as viwanja,sasa tutaheshimiana mjini tu,wataenda kwenye field zao za zaman,kama kuchunga mbuz,
 
Back
Top Bottom