Mkuu, leo ndo kibarua chake kinaota nyasi
Nina mashaka juu ya gharama za serikali ya muungano. Hawa wazanzibari sijui kama watachangia. Pia sijajua kama gharama hizo zitakuwa sawa kwa sawa baina ya pande mbili hizi
Warioba ni mtu makini nakubaliana nae kwenye huu mchakato wa Katiba yetu.
Kibarua kinaota nyasi lakini ndio hivyo tena keshamwaga tindikali.
Mkuu CHAZA
Nchi kwanza vyama baadae watanzania wengi wanataka serikali tatu hakuna haja ya kuwakatilia.