kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,742
Utakaa hivyohivyo na kichwa chako cha Nazi huku ukweli ukiwa ndio huo.Watanzania wana miliki viwanda vya kutengeneza uongo-Jk.
Story from Ufipa Uongo Industry.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakaa hivyohivyo na kichwa chako cha Nazi huku ukweli ukiwa ndio huo.Watanzania wana miliki viwanda vya kutengeneza uongo-Jk.
Story from Ufipa Uongo Industry.
Warioba alisema wazanzibar wa ccm wanafiki wakiwa znz na wenzao cuf wanakuwa wamoja juu ya utaifa wao, wakija huku ddm ccm wanapindisha..mkuu endelea kutuupdate..Habari ndio hii
Hivi walikuwa wapi hadi madudu haya yakatokea?
Uvunjaji wa muungano wanauona Leo?
Leo Warioba wanamhukumu na kumlaumu kwa lipi?
SIMPLY, FOOLISHNESS
Tundu Lisu aliwahi kuonya kuwa kuna hatari kubwa kwa mustakbari wa muungano baada ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar. Alichoambulia ni kejeli, dharau na kupuuzwa. Hakuchoka, aliendelea kutoa dukuduku lake hata nje ya bunge, wachache sana wenye akili tulimuelewa. Leo macho yamewatoka walewale.......... mithiri ya mtu aliye fumwa anajisaidia haja kubwa njiani.
hapa ni hesabu ndogo tuu .Zanzibar inatambulika kama nchi na wanakila kitu chao katiba yao bunge lao raisi wao bendera yao n.k
sasa huku upande wa pili nikinyume tena kizungumkuti kweli kweli na hata hatueleweki Tanganyika no katiba no bendera no raisi no bunge Bali kuna kudandia tu vitu vya muungano jamhuri ya muungano.
Tanganyika imefia wapi jamani??? hapa wakulaumiwa ni aliye lianzisha kama ni kuuvunja muungano basi Zanzibar ndio kinala tena wakiungwa mkono na viongozi waliopitisha sheria ya kuitambua Zanzibar kikatiba kua ni nchi why Leo hiii wanashikana mashati na kulalama ya kuwa msimamo wao ni serikali 2 na sio 3?
soon na watanganyika nasi tutadai haki yakutambulika kisheria na kikatiba ya kuwa ni nchi na inabidi hapo twende sawa kama Zanzibar .
hapo sasa ndio muundo wa serikali 3 utakapo pita bila kubwabwaja na kupingwa na mtu yeyote.
nakama watakomaa nakutoitambua Tanganyika basi kusiwepo na takataka yoyote inayoitwa jamhuri ya muungano?? na wao ndio watakuwa wameua muungano rasmi. kama no Tanganyika why ?? muungano ? utatoka wapi Zanzibar itakuwa imeungana na nani?? mpaka jamhuri ya muungano itambulike??
au ni hili jina la Tanganyika ndio linawachefua?? basi tutumie Tanzania bara kama nyie mnavyopenda ??
kwahili ccm hata mcheze vipi hamuwezi kukwepa aidha muungano ufe rasmi au mkubali kufufuka kwa Tanganyika na uwepo WA 3 serikali.
hii mibunge ya ccm kutoka tanganyika inatia aibu sana ! Badala ya kupigania nchi yao inahangaika na visiwa vidogooo!

137. Wakati wa kukusanya maoni ya wananchi, Tume ilibaini kwamba haitakuwa rahisi kubadili Katiba ya Zanzibar kuifanya Zanzibar kuonekana kuwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano badala ya kuwa na sura ya nchi. Mabadiliko ya aina hiyo yatahitaji kura ya maoni kama Katiba ya Zanzibar inavyoelekeza. Kwa tathmini ya Tume, baada ya kuwasikiliza wananchi wa Zanzibar, ni dhahiri kwamba uwezekano wa kufanya mabadiliko kwenye Katiba ya Zanzibar ili Zanzibar iwe sehemu ya nchi moja badala ya kuwa nchi, ni mdogo sana.