jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba.
Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama vile maandamano hayo ni ya wahuni tu na hivyo ameazimia kutumia nguvu zote za kimamlaka alizonazo kuyazima.
Akisema kuwa maandamano hayo yameandaliwa na wahalifu, jambo ambalo kwa maoni ya wengi siyo kweli!
Lakini pia kuna matukio ya kiuhalifu “looting”, ya kupora bidhaa kwenye maduka na kuiba TV nk, kuna ambao wanaamini kwamba hao wahalifu ni mapandikizi ya serikali ili kuweza kuchafua taswira ya maandamano hayo.
PIA SOMA
- News Alert: - Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia