Hotuba ya William Ruto inasikitisha! Yaonyesha ulevi na tamaa ya madaraka

Hotuba ya William Ruto inasikitisha! Yaonyesha ulevi na tamaa ya madaraka

Acha umavi Magufuli hafanani na Ruto hata kidogo itikadi ya magufuli ni tofauti kabisa na Ruto
Kwanza jamaa anasafili sana nje bila manufaa yoyote according to wakenya
Niambie Toka Magufuli alikuwa Rais lini amesafili safili hovyo kama hawa viongozi wetu uchwala kila siku pipa kisingizio kwenda kutafuta pesa ambazo zinapigwa 10% na walio wachache
Hakika Africa tungepata Viongozi mfano wa Magufuli tungekuwa mbali , shida viongozi wa Africa wamejaa tamaa na uwoga kwa kuwaabudu wazungu na waarabu
Magufuli angesafiri kwa afya gani aliyokuwa nayo. Mnamsifia alikuwa hasafiri wakati mwenzenu alikuwa mgonjwa. Mtu alikuwa fitted kifuani na defibrillator mwaka 1992 nayo ilikuwa chakavu, angethubutu vipi ku hang 5 hours hewani? Magu was a walking carcass to be honest
 
Una akili sawa na huyo kwenye Avatar yako
Kwani Magufuli hajawahi kusafili??
 
Usimuamini mwanasiasa!!!!
 
Attachments

  • IMG-20240625-WA0023.jpg
    IMG-20240625-WA0023.jpg
    47.1 KB · Views: 2
Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba.

Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama vile maandamano hayo ni ya wahuni tu na hivyo ameazimia kutumia nguvu zote za kimamlaka alizonazo kuyazima.

Akisema kuwa maandamano hayo yameandaliwa na wahalifu, jambo ambalo kwa maoni ya wengi siyo kweli!

Lakini pia kuna matukio ya kiuhalifu “looting”, ya kupora bidhaa kwenye maduka na kuiba TV nk, kuna ambao wanaamini kwamba hao wahalifu ni mapandikizi ya serikali ili kuweza kuchafua taswira ya maandamano hayo.
Unaelewa ulichoandika?
 
Unamshabikia marehemu halafu hukui kama alikuwa maiti inayotembea. Ukiacha pacemaker alikuwa na HIV+ Diabetes+ Mental + Herpes Zoster. Ndiyo maana ilipokuja COVID-19 ikampitia kirahisi
Ona sasa Akili zako utakuwa na Tatizo mahali, kwani wewe ni mzima?? hapo ulipo una minyoo kibao tumboni mwako na mavi yamejaa kwenye puru yako
Hapa tunazungumzia uongozi wake ulio bora na sio ugonjwa wake
Sasa wewe ulivyo na akili fupi unaleta eti magonjwa,
Kila mtu anamwa wewe hata kama leo mzima ila kesho utaumwa na utakufa vilevile , nakushauri tafuta mtu akusaidie either akupeleke kwa mtaalamu wa magonjwa ya akili upate tiba usipuuze pls
 
Kwa hiyo mnataka Ruto awaangalie tu hao wahalifu waendelee kufanya ujangili wao? Ngoja kdf iingie mtaani watajua hawajui! Kabla Ruto hajaondoka madarakani atakuwa amewashikisha adabu!
 
Magufuli angesafiri kwa afya gani aliyokuwa nayo. Mnamsifia alikuwa hasafiri wakati mwenzenu alikuwa mgonjwa. Mtu alikuwa fitted kifuani na defibrillator mwaka 1992 nayo ilikuwa chakavu, angethubutu vipi ku hang 5 hours hewani? Magu was a walking carcass to be honest
Wee mwenyewe ni carcass kesho au keshokutwa tunakuzika
 
Ona sasa Akili zako utakuwa na Tatizo mahali, kwani wewe ni mzima?? hapo ulipo una minyoo kibao tumboni mwako na mavi yamejaa kwenye puru yako
Hapa tunazungumzia uongozi wake ulio bora na sio ugonjwa wake
Sasa wewe ulivyo na akili fupi unaleta eti magonjwa,
Kila mtu anamwa wewe hata kama leo mzima ila kesho utaumwa na utakufa vilevile , nakushauri tafuta mtu akusaidie either akupeleke kwa mtaalamu wa magonjwa ya akili upate tiba usipuuze pls
Unafanywa nini? Uongozi bora wa Jiwe wewe uliuona katika nini? katika maiti zilizokuwa zikiokotwa kwenye mifuko? Katika kuendesha genge la uhalifu la akina Sabaya la kubora fedha watu benki? Ubora wa uongozi wake uliuona katika kutowapandisha watumishi miaka sita???

Mwacheni Peacemaker alale kama Mungu alivyoamua kuwanusuru Watanzania.
 
Back
Top Bottom