Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Unapimaje uongozi ulio bora? Kuzuia demokrasia ya vyama vingi, kukandamiza uhuru wa maoni, kuitisha Mahakama, kuliendesha bunge kwa 'remote' na kunyang'anya hela za wafanyabiashara siyo madhaifu madogo.Ona sasa Akili zako utakuwa na Tatizo mahali, kwani wewe ni mzima?? hapo ulipo una minyoo kibao tumboni mwako na mavi yamejaa kwenye puru yako
Hapa tunazungumzia uongozi wake ulio bora na sio ugonjwa wake
Sasa wewe ulivyo na akili fupi unaleta eti magonjwa,
Kila mtu anamwa wewe hata kama leo mzima ila kesho utaumwa na utakufa vilevile , nakushauri tafuta mtu akusaidie either akupeleke kwa mtaalamu wa magonjwa ya akili upate tiba usipuuze pls
Niogope kumsema yule kichaa aliyetaka kuharibu nchi yetu kwa kuwa tu nitakufa? Nyambaff