Hotuba ya William Ruto inasikitisha! Yaonyesha ulevi na tamaa ya madaraka

Unapimaje uongozi ulio bora? Kuzuia demokrasia ya vyama vingi, kukandamiza uhuru wa maoni, kuitisha Mahakama, kuliendesha bunge kwa 'remote' na kunyang'anya hela za wafanyabiashara siyo madhaifu madogo.

Niogope kumsema yule kichaa aliyetaka kuharibu nchi yetu kwa kuwa tu nitakufa? Nyambaff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…