Nadhani kuanzia Dec 9 atapata majibu hizi porojo zakeAcha andelee jichanganya na kukidharirisha cheo cha waziri mkuu kionekane ni cheo cha wanuni wahuni tu, kama mkunda alivyolinajisi jeshi la wanainchi sasa wanainchi wanaona ni genge la wahuni tu kama polisi
Yani mambo aliyotakiwa kuongea kiongosi anaongea waziri tena mkuu, yani waziri mkuu anapiga propaganda baada ya kuonyesha uwajibikaji aibu sana sijui nani alishauri Mr guys apewe hicho kitu maana ni aibu
Yeye ndiye mjinga😂Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu ANAJUA Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU
Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu ANAJUA Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU
Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
Hatuna waziri mkuu, wake up.Acha andelee jichanganya na kukidharirisha cheo cha waziri mkuu kionekane ni cheo cha wanuni wahuni tu, kama mkunda alivyolinajisi jeshi la wanainchi sasa wanainchi wanaona ni genge la wahuni tu kama polisi
Yani mambo aliyotakiwa kuongea kiongosi anaongea waziri tena mkuu, yani waziri mkuu anapiga propaganda baada ya kuonyesha uwajibikaji aibu sana sijui nani alishauri Mr guys apewe hicho kitu maana ni aibu
Anatafuta attention.. Ili awe mjadala kupunguza kasi ya D9Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu ANAJUA Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU
Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?