Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Sawa lakini ujue pia kadri miradi inavyokuwa mingi na ya gharama kubwa inanyonya zaidi na ndio maana ukaona hata ukusanyaji Kodi ulkua wa kulazimisha sana ili hyo miradi iende. Miradi yote tunaiitaji lakini haikuwa na ulazima wa kuanza kwa pamoja.Hapo mwanzo umeanza vizuri ila umemalizia vibaya
Bila kuweka miundombinu barabara, umeme, reli, maji, boats na vivuko uzalishaji utaendelea kudumaa, ajira hazitapatikana na mishahara itaendelea kuwa chini
Miradi itekelezwe na kukamilishwa