chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita.
Hana koti la uwaziri, hana mkono wa chuma ambao ulikuwa unambeba na kumpa kura, akilala usingizi majinamizi yanakuja.
Nihitimishe tu, nadhani muda si mrefu mbunge anayekaa jirani na waitara ataomba kuhamishwa, namuamgalia kama anakereka hivi.