Waitara ni chiziHotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita.
Hana koti la uwaziri, hana mkono wa chuma ambao ulikuwa unambeba na kumpa kura, akilala usingizi majinamizi yanakuja.
Nihitimishe tu, nadhani muda si mrefu mbunge anayekaa jirani na waitara ataomba kuhamishwa, namuamgalia kama anakereka hivi.
View attachment 2510563
Hana hoja ni kichaaWaitara ana hoja sana labda kosq lake kuhama upinzani na alipendezea sana upinzani.
Tabia za wakurya humuoni heche ,mkurya hata kama ni story za msiba yeye anafoka tuHaa haa
Jamaa anaongea kama anafoka hivi
Kwahiyo yupo CHADEMA?Ni mwanachadema kindakindaki
USSR
Huyu mlevi career yake ya kisiasa imeishia hapa arudi anywe hadi anajikojoleaHotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita.