kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Muda ni mali kama mali nyingine kuupoteza ni kosa sawa na makosa mengine. Kuna watu ukimpa nafasi ya kuzungumza atanza na neneo ""aaa". Mfano, aaa asanteni sana aaaa kwa kunipatia hii nafasi aaaa ya kuzungumza na nyinyi hapa. Aaa kusema ukweli aaa nilikuwa aaaa sina ndoto kama IPO siku aaaa ningekuja aaaa kupata nafasi kama hii.....
Kusema ukweli viongozi wanaotumia hili neno aaa (distracter) kwenye maongezi na hotuma anaboa sana, watu wataacha kumsikiliza na wengine wataondoka kwenda kuvuta sigara zao hadi hotuba yako imalizike. Unapotezea watu muda kwa nine ambalo ni galasa la maongezi.
Hakuna msikilizaji mwenye akili nyingi anaweza kuuvumilia kupotezewa muda wake na maneno kama aaaa, you know, infact, off course, kwenye hotuba zenu.