Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
RAIS wa Africa Boxing Union (ABU), Houcine Houichi amesema moja katika sababu iliyofanya wamvue mkanda Bondia Hassan Mwakinyo ni kugoma kupigana na Bondia Brandon Tysse kutoka Afrika Kusini.
.
Houichi anadai Mwakinyo alipewa ofa ya Dola za Kimarekani 20,000 [Tsh Mil 46] Lakini alikataa ofa hyo na kusema hapigani chini ya Dola 40,000 [Tsh Mil 92.8].
Rais huyo anasema ofa hiyo aliyoitaka Mwakinyo ilikuwa haina uhalisia kutoka na thamani yake ya sasa
Neno moja kwake Hassan Mwakinyo