House Cleaning

House Cleaning

...ndio maana mara zote nawausia watu wachane na kauli kama, "huyo mume/mke hakufai! muache!"... wanandoa ni sawa na siri ya mtungi!

maisha ya ndoa kama safari baharini, kuna mawimbi ya hapa na pale, dhoruba kali saa nyingine, na kuna kipindi shwariiiii,...

hapo nyuma nilitoa mfano wa 'siku mbaya', ambayo kuanzia kumekucha mpaka machweo ni kibano tu!, lakini kama mmoja ataamua kujishusha, aaaah, haichukui hata muda utasikia, sasa nawe unanuna nuna nini... na vicheko vinaanza upya, mikumbatiano na mabusu kama sio nyie...

udugu wa shuka huo!

kwi kwi kwi kwii, umenifurahisha sana. Mimi kusema ukweli huwa tukigombana sometime nashukuru Mungu kwani baada ya hapo najua mambo yanakuwa mazuri sana na inapita kipindi kirefu bila mikwaruzo, halafu unapatikana muda mzuri wa kutoa madukuduku yako yooooooooote na vinyongo vyooote. Baadaye sana tena mnazoeana na kuanza kufanyiana visa hadi siku zogo litokee.

You know why men can't live without women, they are part of us: Female have male in it, Women have men in it. So if we perish they perish too, they have to be part of us, no choice!

Aaaaaah, mmmh i don't think so!

I thought "Fe-male" means a male who is a Fe, and "Wo-men" means men of the type " Wo." Thus, females and women are a sub-group of males and men. Part of men and males, no choice!

Aaaaaah, mmmh i don't think so!

I thought "Fe-male" means a male who is a Fe, and "Wo-men" means men of the type " Wo." Thus, females and women are a sup-group of males and men. Part of men and males, no choice!

Mrs has Mr in, She has he in it, Madam has Adam in it! you are part and parcel of us! you know why men were born between the legs of a woman, yet men spend most of their life and time trying to go back between the legs of a woman, they want to go back........

Whoa! Whoa! Mama stop it.

I concede the point!

Mrs has Mr in, She has he in it, Madam has Adam in it! you are part and parcel of us! you know why men were born between the legs of a woman, yet men spend most of their life and time trying to go back between the legs of a woman, they want to go back........

LOL! Mama wewe ni kiboko...Njemba zinataka kurudi zilikotoka!!!!....LOL!

Mbona wenzetu weupe hawamind hii kitu? dadangu kama unajiamini kuwa 'unamsafisha' mumeo ipasavyo, yaani hatoki hata na chenga !- basi sioni kwanini uwe na hofu kumwachia mtu yoyote kukusafishia chumbani kwenu!

Haika,
Mimi jibu langu kuhusu usafi wa nyumba yako nadhani nishare experience yangu.
Nyumbani kwetu sehemu zingine zote hatuna wasiwasi mtu mwingine akitusaidia kufanya usafi, lakini chumbani kwetu tungependa tufanye wenyewe na ndivyo tufanyavyo. Pamoja na sababu zote nzuri zilizoelezwa kuhusu faragha ya chumba hicho na heshima yake, kwetu sisi ni pamoja na information zetu zingine ambazo tunaamini si sahihi mtu mwingine kuwa na access au kuiona hiyo informtion kabla ya wakati muafaka, mfano: bank statements.

Sababu ya pili ni kwamba kwa vile chumba hicho hakichafuki sana kulinganisha na vyumba vingine katika nyumba huona si kazi kubwa kufanya usafi na pia tunaufanya kwa kadri tutakavyo.

Tatu huwa tunafunga chumba chetu hivyo hakuna njia ya kuruhusu mtu mwingine kufanya shughuli hiyo. Tukiwa tu sisi nucleus family hapo ndipo angalau watoto wetu wanaweza kutusaidia. Other than that, ni sisi wawili tu and we enjoy making the bed together or whoever is the last one to get up.

kama hakuna vitu vya ajabu ajabu vya kiutu uzima, sioni kwanini usiwape wasaidizi wanaoaminika kusafisha, (sina maana ya kushika kila kilichopo)
Lakini kwa wale wenye ndoa za kubandika, ni hatari sana kwani wenzetu wenye spidi za kurudi walikotoka lazima watajitahidi kwa visingizio vyovyote vile.
mahusiano ni kuelewana, kama ni nyie wawili basi mujifunzane, mtafute kufurahishana,
Manake sera za kusema eti mama atandike kitanda, sasa kama baba anachelewa kutoka itakuwaje?
au akufulie kila siku, akisafiri je?
mimi pia nakwazika na ile inayosema
in marriage, to be happy, men need to love women a lot and not understand them at all, and women need to understand men a lot and love them a little
I think we should need both equally. (being loved and understood)

Ukizileta issue za beijing kwenye ndoa zetu za kibongo utabaki kuwa danadana ya wanaume!

Back
Top Bottom