Joto Balaa
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,141
- 770
Swali mjarabu kabisa, mtoa mada majibu tafadhaliNi maeneo gani, 80,000 plus 10,000 ni kwa vyumba viwili ama kimoja? na vipi huduma nyingine kama parking na vyoo ni kupanga foleni ama unit inajitegemea
ahahahahaha iyo picha ni ya mdada mmoja mtangazaji wa radio nchini Uganda..heheheUnaendana vipi na Avartar yako yaani hiyo picha uloweka. Ni kama 75%, 50% ama? Nataka kuzuia vyumba vyote baada ya majibu
parking ipo ni maeneno ya mjini kabisa karibu na majengoSwali mjarabu kabisa, mtoa mada majibu tafadhali
parking ipo ni maeneno ya mjini kabisa karibu na majengo[/ni self jamani vyumba vyote ni self, vipo pia self yenye chumba na sebule
hiyo 10000/= ni ya umeme kwa mweziNi maeneo gani, 80,000 plus 10,000 ni kwa vyumba viwili ama kimoja? na vipi huduma nyingine kama parking na vyoo ni kupanga foleni ama unit inajitegemea
duh picha sijapiga lakini niklienda ntapiga pichaMjini sehemu gani?
Weka hata na picha mkuu.
nilikua kazini kakaMwenzenu lisu anauliwa nyie mlikuwa wapi?
weka pichaKuna vyumba vinapangishwa Dodoma mjini, self contained, woodern syling board, no tiles but nice floor, water available in doors 24hrs, electricity (10,000/= kwa mwezi), bei 80,000/= kwa mwezi, kodi ya miezi sita nakuendelea. ukihitaji tuwasiliane.
Duh pole sana dada pendonilikua kazini kaka
vp kwani unatatizo na mimi?Duh pole sana dada pendo
Private geologist
ok sijafanya uhalifu mi ni raia wakawaida tu maskini tuUsiweke picha yako halisi humu si salama.
Ila kwa bei hiyo mbona naona iko juu sana kwa Dodoma.
Hmna tatizo, ila we its like nakufahamuvp kwani unatatizo na mimi?
yah wote tuliomo humu ni watu tunaojulikanaHmna tatizo, ila we its like nakufahamu
Ni Wachche tunaojuana kwa surayah wote tuliomo humu ni watu tunaojulikana
ooh okNi Wachche tunaojuana kwa sura
Private geologist
Basi tafuta wateja wengine mkuuahahahahaha iyo picha ni ya mdada mmoja mtangazaji wa radio nchini Uganda..hehehe
Sababu ya msingi ya kusema hivi ni kwa kuwa Avartar ya sasa inaonyesha mwanaume aliye vaa heleni🙁Basi tafuta wateja wengine mkuu